hivi mtu kama kafunga pm yake unafanyaje

hivi mtu kama kafunga pm yake unafanyaje

Miss Neddy

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2013
Posts
14,684
Reaction score
8,754
kuna mtu nataka ni mpm na pm yake imefungwa niko na wakati mgumu nafanyaje wakuu pls help
 
Wacha comment kwenye profile yake 'visitors comments'
 
Mfate kwe post zake mwambie unamtafuta
 
Mbona unauliza kwa kulialia nini kimekusibu?
Nenda kwenye nyuzi zake mwambie atoe kofuli!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom