Hivi mtihani wa darasa la saba ndiyo umefutwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi mtihani wa darasa la saba ndiyo umefutwa?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kimboka one, Dec 21, 2011.

 1. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Wadau nisaidieni kwa kuweka mtihani mwingine baada ya watoto kufaulu na kupangiwa shule ili kuendelea na masoma ya sekondari ni kufuta mtihani wa taifa? Mbona sielewe tunaenda wapi? Kwenye mfumo wa elimu yetu itafika mahali mitihani ya NECTA inafutwa na wanafunzi watakuwa wanafanyiwa interview tu kama wanavyotaka kufanya baada ya matokeo kupangwa.Inasikitisha sana serikali inatumia pesa nyingi kuandaa na kusahihisha mtihani ili hali wakijua si njia sahihi ya kupima watoto na wanajitokeza kusema eti watoto wamefaulu wakati hawawezi kusoma na kuandika.dahaaaaaaaa!!!!!!!!!!
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Hizi si simptomz bali ni evidensi zinazo-pruv biyond rizonabo dauti kuwa nchi haitawaliki kwani watawala hawajui la kufanya, mambo yako hivi kwa tishio tu la kuandamana, je tukiandana! tupo katikati ya mkondo wa nungwi naona nahodha anajitosa baharini na godoro, haiamini tena meli spice islander. aibu yetu aibu yao?!
   
Loading...