Hivi mshauri wa Rais analipwa na nani?

Hivi mshauri wa Rais analipwa na nani?

Nauliza tu nijue, mshauri wa Rais analipwa na nani? Au hawalipwi wanakula posho TU? Kwa Nini alimpiga chini kassimu Majaliwa na Leo anamsogeza Tena? Au anamwonea wivu alivyonawili?
Serikali zetu za kipumbavu zina siri za kipumbavu. Mshahara wa mfanyakazi anayelipwa na taxpayers haupaswi kuwa siri. Marekani, kwa mfano, hiyo mishahara inapatikana kwenye public domain effortlessly!
 
Usifosi tufanane boss.
 
Serikali zetu za kipumbavu zina siri za kipumbavu. Mshahara wa mfanyakazi anayelipwa na taxpayers haupaswi kuwa siri. Marekani, kwa mfano, hiyo mishahara inapatikana kwenye public domain effortlessly!
Acheni uongo hivi watoto wa trump wawili wote ni wasaidizi wake na washauri pamoja na kwe wake umeshawahi kusikia mishahara yao na wanatumia ndege za statehouse kwa safari zao?
 
Nauliza tu nijue, mshauri wa Rais analipwa na nani? Au hawalipwi wanakula posho TU? Kwa Nini alimpiga chini kassimu Majaliwa na Leo anamsogeza Tena? Au anamwonea wivu alivyonawili?
kula ugali shiba kisha sali engine achana nayo utapata vidonda vya tumbo
 
Acheni uongo hivi watoto wa trump wawili wote ni wasaidizi wake na washauri pamoja na kwe wake umeshawahi kusikia mishahara yao na wanatumia ndege za statehouse kwa safari zao?
Mishahara ya washauri wanaolipwa haiwezi kufanywa siri. Baadhi ya washauri wa Trump hawana mishahara. Kwa mfano, Elon Musk hakuwa na mshahara wakati alipokuwa special government employee. Vilevile Jared Kushner hana mshahara. Kutumia ndege za Serikali wakati wa kutekeleza majukumu sio malipo!

Marekani haina upumbavu wa kuficha mishahara ya watumishi wa umma. Kama unataka kujua mshahara wa kigogo yeyote, just google it!
 
ndugu naomba uwe na uelewa mpana hata Tanzania kulipwa mshahara huwa ni danganya toto tu tena kuna nafasi nyeti zote huwa mshahara ni pocket change tu , hata CC kamati kuu ccm hawana mishahara wana connection to deal na wengi wa wanafasi hizo hawana njaa ya chakula, nyumba wala gari wanataka connection to wealth mzeee , Mfano Angela Kiziga hajaajiriwa serikalini lakini msaidizi wa rais ndo huyo anapiga tenda za billioni 60 80 na exemptions za kuingiza magari kaokoa karibu bilioni 4 , ni bora mara mia 600 , familia ya Donald kitendo cha kuwa ikulu tu ndo wenye wampata tenda za ujenzi wa bilioni ya dola middle east na sasahivi wamefungua makampuni ya rare eath mining , wale hawawazi mishahara walishavuka hizo level za umaskini uliopitiliza .

Mtu yeyote wa mshahara wewe jua ni maskini wa kifikra hata kama ni CEO ndo maana best and confident CEO,S wanataka commissions kwenye maisha yao sio mshahara
 
CCM Wahuni sana, wanavyoitana komredi sijui kamarada utafikiri CCP ya China kumbe utapeli mtupu.
 
CCM mmezoea ubabaishaji. Nini kimekufanya ubadili subject? Hapa tunazungumzia usiri wa mishahara ya watumishi wa umma. Ghafla umeingiza mambo ya upigaji. Swali hapa ni kwanini taxpayers wanafichwa mshahara wa mfanyakazi ambaye alipwa kutokana na kodi zao?
 
basi tuweke kwa lugha nyepesi wakubwa huwa hawataki mshahara wanataka connection na business deal kwa hiyo wanavolunteer
 
CCM Wahuni sana, wanavyoitana komredi sijui kamarada utafikiri CCP ya China kumbe utapeli mtupu.
ahaaa ahaaaa ahaaa hata CCM muundo wao waliiga CCP wa kumlaumu ni nyerere lakini namtetea alifanya hivyo kwa sababu ndo rais aliyekuwa anawindwa kuliko marais wote wa Africa kwa sababu alijitolea kukomboa nchi zingine hivyo alionekana kikwazo cha mabeberu hata sisi kudumaa uchumi kuba hujuma nyingi sana alifanyiwa makusudi
 
Back
Top Bottom