Habari wanajamvi
Nilikuwa na mpenzi wangu juzi kati tukaachana cause yeye alishindwa kuwa na msimamo na mimi nikaamua kuachana naye baada ya kumfuma.
Sasa baada ya kuachana naye ananitishia kuniachia laana hivi ni kweli mpenzi wako anaweza kukuachia laana naombeni ushauri kama kuna laana anayoweza kuniachia nimwombe msamaha wakati yeye ndiye kafanya kosa
nilikuwa na mpenzi wangu miaka mi3 na nilimpata akiwa katika mazingira hafifu bt nikakaa nae nikamuimpower kwa kumtafutia kazi akaanza kazi private sector kafanya lakini ilipofika tarehe 22 mwezi wa tano 2014 kaanza vitimbwi. sikujali saana cozi nilikuwa nampenda sana, nilimkanya kwa niliyokuwa nikiyaona...mwezi wa sita vikaongezeka, wanane vikazidi lakini niliendelea kumkanya kwa kila hatua niliyoiyona ilipofika mwezi wa tisa nikaanza uchunguzi kukhusu yeye....nikabaini kaishakuwa na series kibao kwenye one disc.....humo kuna waume za watu, madreva tax madreva hiace n.k......kwa hali hiyo kuna wengine waliniambia mipango yake na wao......kwa kweli nilikata tamaa nae japo niliinvest sana kwake na nikaamua kumuacha moyo ukiniuma, japo niliwaambia rafiki zake na zangu, dada ake....lakini majibu aliyoyatoa SINA MUDA, NIKO BIZE, HIVI NYIE MNAUMIA NINI,MIE SIMPENDI TENA,N.K.....ila kuna dreva mmoja wa shirika la BIMA jina kapuni mkoa kagera ndo' kampagawisha kwa kumpa lift japo ana mke na watoto.......je huyu mdada anapepoo au kalogwaa au kwa sababu kapata viela vya kuweza kujikimu ndo kasahau alikotoka au kawaje? nisaidieni wana jf
Mwanamke ni kiumbe dhaifu ukimuahidi utamuoa afu ukamwacha bila sababu ya msingi akikuachia laana inafika ni wepesi kuamini.
Mh! Yani ni story ndefu Sana nilivyo anza naye nilivyompokea hapa Dar nilivyo msaidia ndiyo maana roho Yangu iliniuma Sana na kikubwa kilicho nishangaza ile siku nilipokwenda pale keko alivyo Nitamkia eti mimba katoa Sijui Yale machozi yalitoka wapi ghafla yakadondoka chini pwaa.
Kwa nionavyo mimi ni kwamba nyie hamjaachana bali mmepeana likizo ya muda na kisha mrudiane sema tu mwenzako anataka likizo ifupishwe maana kakumiss. Ila kwa mtu aliyesalitiwa na akaguswa na usaliti akiamua kufanya maamuzi magumu hakika hawezi fikiria eti mpenz kamwambia atamlaani. Ushauri wangu: tafadhali rudiana na mpenzi wako maana bado mnapendana alikusaliti kwa bahati mbaya sawa mtoto mzuri eeh!
dua la kuku halimpati mwewe!
................yawezekana kuachiwa laana japo maneno hayaumbi bt ni rahisi ka' umemuacha katika mazingira ambayo sio mazuri..........................
nilikuwa na mpenzi wangu miaka mi3 na nilimpata akiwa katika mazingira hafifu bt nikakaa nae nikamuimpower kwa kumtafutia kazi akaanza kazi private sector kafanya lakini ilipofika tarehe 22 mwezi wa tano 2014 kaanza vitimbwi. sikujali saana cozi nilikuwa nampenda sana, nilimkanya kwa niliyokuwa nikiyaona...mwezi wa sita vikaongezeka, wanane vikazidi lakini niliendelea kumkanya kwa kila hatua niliyoiyona ilipofika mwezi wa tisa nikaanza uchunguzi kukhusu yeye....nikabaini kaishakuwa na series kibao kwenye one disc.....humo kuna waume za watu, madreva tax madreva hiace n.k......kwa hali hiyo kuna wengine waliniambia mipango yake na wao......kwa kweli nilikata tamaa nae japo niliinvest sana kwake na nikaamua kumuacha moyo ukiniuma, japo niliwaambia rafiki zake na zangu, dada ake....lakini majibu aliyoyatoa SINA MUDA, NIKO BIZE, HIVI NYIE MNAUMIA NINI,MIE SIMPENDI TENA,N.K.....ila kuna dreva mmoja wa shirika la BIMA jina kapuni mkoa kagera ndo' kampagawisha kwa kumpa lift japo ana mke na watoto.......je huyu mdada anapepoo au kalogwaa au kwa sababu kapata viela vya kuweza kujikimu ndo kasahau alikotoka au kawaje? nisaidieni wana jf
Mwanamke ni kiumbe dhaifu ukimuahidi utamuoa afu ukamwacha bila sababu ya msingi akikuachia laana inafika ni wepesi kuamini.
Inawezekana unayo ila hujijui.watu wengi wapo hivyo afu wabishiiiii!!Aagh wapi!....nimesex na mwenye mashetani/mapepo for more than 10yrs hakuna kitu kama hicho...
Omba Mungu akutakaseDuuuuu nilikuwa cjui kuwa inaweza kuwa hvyo .kwa hyoo nifanyajee mkuu
Omba Mungu akutakase