Saudia arabia kuna jangwa ila wametatua shida ya maji.Hawa mawaziiri,mainjinia na wasomi wengine nilikua nawatazama kwa jicho la tofauti sana nilkiona magari wanayotembelea,mishahara wanayolipwa na incentives nyingine.
Nilidhani wana uwezo mkubwa sana kichwani wa kutatua changamoto hasa nyakati kama ngumu,kumbe nao wanakuja na sababu za kawaida tu ambazo hata mtu wa kawaida anaweza kuja nazo.
Yani maana yake mtu yoyote anaweza kuwa waziri tu,kipindi maji yanapatikana unapeta tu hakuna pressure yoyote na kipindi maji yakikauka unasimama mbele na kusema ukosefu wa mvua na maisha yanaendelea tu kama kawaida.
Hiyo inaitwa Business as usual.Hawa mawaziiri,mainjinia na wasomi wengine nilikua nawatazama kwa jicho la tofauti sana nilkiona magari wanayotembelea,mishahara wanayolipwa na incentives nyingine.
Nilidhani wana uwezo mkubwa sana kichwani wa kutatua changamoto hasa nyakati kama ngumu,kumbe nao wanakuja na sababu za kawaida tu ambazo hata mtu wa kawaida anaweza kuja nazo.
Yani maana yake mtu yoyote anaweza kuwa waziri tu,kipindi maji yanapatikana unapeta tu hakuna pressure yoyote na kipindi maji yakikauka unasimama mbele na kusema ukosefu wa mvua na maisha yanaendelea tu kama kawaida.
Umesema kweli kabisa, hii inaonyesha wana taaluma wetu wanakariri kuliko kutenda, maana wananchi wanategemea ufumbuzi wa tatizo sio matamko tu.Hawa mawaziiri,mainjinia na wasomi wengine nilikua nawatazama kwa jicho la tofauti sana nilkiona magari wanayotembelea,mishahara wanayolipwa na incentives nyingine.