Hivi mnajuaje hili?


Bado ni assumption tu
Hakuna uhakika wowote!
 
Kwahiyo hakuna anaejua bali sote tunaamini tu yaani hatuna uhakika!

Kina Shaluwa and company kwa maana ya watu kama yeye ambao walizaliwa kuwa washauri ama niite kabisa ma consultants wa mapenzi si ajabu nao mapenzi yanawatoa kamasi...who knows?
 
Upendo ni abstract ila Mara nyingi huwa unadhihirika katika vitendo zaidi na hapo mtu huamini kuhusu upendo vitendo hivi hufika sehem na kuitwa tabia na hapo ndio husikia watu wakiwasifia watu wao kuwa wana ta bia nzuri.lakini Kuna kitu ambacho ni cha msingi kuelewa unapomuongelea binadam ni kwamba binadam ni kiumbe anayebadilika mwili pamoja na tabia Sio kosa kwa sababu mazingira hubadilika so katika mabadiliko hayo upendo nao Kama sehem ya tabia hubadilika pia so yaweza kuwa positive au negative ila unakuwa umebadirika na hapo ndio story za kuumizwa hutokea ndio maana ni muhimu sana kufanya tathmini ya mahusiano yako na mwenzako kila baada ya Mda ili kujua mko sawa au la na Kuona namna ya kurekebisha.
 
Personally naamini ninampenda nae naamini ananipenda ILA SINA UHAKIKA MANA ANA MOYO WAKE NAMI NINAO WANGU NA NDIO MAANA NINAAMINI NAMPENDA (at least for now):rolleyez:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…