Hivi mnajuaje hili?

Mie najipenda Mwenyewe,

Nikisema ananipenda ntakuwa nadanganya,

Sina hakika kama nampenda!!

Na wewe umeanza kuleta bahari za huyo mwalimu wa darasa.
Binadamu tumepewa upeo wa kujua mengi... Unaweza kutumia njia nyingi tu kubaini kama mtu anakupenda.
 
Na wewe umeanza kuleta bahari za huyo mwalimu wa darasa.
Binadamu tumepewa upeo wa kujua mengi... Unaweza kutumia njia nyingi tu kubaini kama mtu anakupenda.

Hakuna kitu kama hicho,

Moyo wa mtu ni kiza kinene,
 
Hakuna kitu kama hicho,

Moyo wa mtu ni kiza kinene,

Kama kiza kuna tochi kila kitu kina mbadala wake..
Ingekuwa hatuwezi kuishi kwa kujua basi hakuna hata moja angejua kama alie nae ndo mama mzazi.
 
ni lugha tu baba paroko. ila mwanaume/mwanamke anaekupa macare ya kutosha lazma uone una uhakika wa kupendwa ati.
 
Mnaojua mnapendana njooni mumpe Eiyer ufafanuzi
Ninachojua mimi, hakuna kitu inaitwa ".....najua naye ananipenda....." Au "......naamini naye ananipenda....."
suala la uhakika hapa ni ".......najua nampenda..... " au ".....naamini nampenda......"
Kupenda ni hisia ndani ya moyo wa mhusika, hakuna mtu anaweza kupima kiwango cha hisia za mtu juu yake, zaidi sana ni kuhisi tu. Hivyo huwezi sema ....najua.... Au .....naamini....... Pengine neno zuri lingekuwa ".....nadhani ananipenda....."

ni mawazo yangu tu hayo
 

Eiyer umeridhika sasa!!
 
ni lugha tu baba paroko. ila mwanaume/mwanamke anaekupa macare ya kutosha lazma uone una uhakika wa kupendwa ati.

Umekielewa nilichoandika?
 
big up Eiyer aje mtu aniambie kwa matendo na maneno....

moyo wa mtu ni fumbo hujui anachokuwaizia hayo matendo na maneno ni uongo cos wengine wanapretend tuu believe ur heart only.
sis wasichana wengi tunajiachia baaada ya kuona guy wanasema sweet words of love plus vizawadi...lkin hili ni fumbo la imani
 
Last edited by a moderator:

Umesoma na ukaelewa nilichoandika?
 
Kaka Paroko tuna compare na ku contrast na hizi filamu za mbele huko... Ila kusema kweli ni emotions tu hakuna kingine hapa
 
Eiyer umeridhika sasa!!

Huyo amekoroga zaidi

Mimi niliandika kuwa kuna baadhi ya watu wanasema nilivyoandika
Yeye anakuja na kusema hakuna kitu kama sijui hiki na kile,kwani mimi nimesema kipo au hakipo?

Halafu huyo jamaa inaonekana hajui nadhani na naamini kuwa zina maana moja!
 

Hakuna hata mmoja aliyejaribu kujibu naona wpte wanaleta maelezo yasiyohitajika!
 
Kaka Paroko tuna compare na ku contrast na hizi filamu za mbele huko... Ila kusema kweli ni emotions tu hakuna kingine hapa

Kwahiyo hakuna anaejua bali sote tunaamini tu yaani hatuna uhakika!
 

at least wewe umesema kitu tuishi kwa kusema nadhani.......
 
Me najua nilie naye ananipenda....na nina amini hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…