Sometimes ni kujipa imani tu ili kujipunguzia adha za dunia hii maana kila kitu hakiaminiki basi acha tujiaminishe kwenye mapenzi na yawe faraja yetu basi!!
Usaliti haumaanishi mtu hakupendi; kuna wanaomegwa kwa maslahi (let say kazi) lakini ana mtu anampenda sana!! Kuna wanaomegana kwa stress zao mbalimbali, unajikuta tu umemegana na fulani but una mtu unampenda na unajutia ulilofanya na pengine usirudie tena but ndo hivyo ushasaliti!! Ila kuna wengine wanasaliti kwa sababu tu hawezi kutulia na mmoja hata umfanyaje ila nae kapenda mahali na huko kwingine anajikuta tu (Wengi hujitetea eti ni shetani tu coz anakuwa hana reason ya kufanya hivyo)
So
Eiyer mie nisiamini sana kuwa unapomsaliti mtu ni kwamba humpendi, asiyekupenda yeye hasaliti bali anaondoka moja kwa moja kufuata moyo wake unakopenda!!
Mtazamo wangu jamani, kukosoana ruksa!!