Hivi mnaakili sawasawa mnaokiunga mkono CCM?

Hakikwanza

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
4,034
1,003
Mi binafsi nakiona chama cha mapinduzi ni kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya nchi yetu. Kwani kimesheheni viongozi wasio na muono pia dira na hivyo kuliingiza taifa katika mzozo na dimbwi la umaskini. Hivi wanao kiunga mkono CCM wanaakili kweli? Nawasilisha
 
Tatizo sio ccm bali baadh ya viongozi. Kuna watu safi sana ccm ila wanakatishwa tamaa. Pm kamwambia Magufuli upunguze kasi ya utendaji, which means aweke uzembe kidogo kwenye utendaji sio kila saa uwe mchapakazi! Sasa unategemea nini? The problem is not ccm, but its leader who are lacking with patriotic ethics.
 
Asilimia 95% hawana akili; ni wale wezi na matapeli waliozoea kula ba kuvuja jasho na hawajui hatima yao bila wezi wenzao ccm. So hawana akili chanya
 
tatizo sio ccm bali baadh ya viongozi. Kuna watu safi sana ccm ila wanakatishwa tamaa. Pm kamwambia magufuli upunguze kasi ya utendaji, which means aweke uzembe kidogo kwenye utendaji sio kila saa uwe mchapakazi! Sasa unategemea nini? The problem is not ccm, but its leader who are lacking with patriotic ethics.
mkuu hao viongozi ndo ccm wenyewe1 huwezi kutofautisha ladba nzuri bendera!
 
Back
Top Bottom