Hivi MMU ingekuwa Nchi

City hunter j

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
926
Reaction score
380
MMU ingekuwa nchi madarak yangekuwaje?

On my side
Uprezdaa angechukua Mode

Waziri mkuu:Mtambuzi

Wizara ya Fedha: The Boss

Wizara ya afya: Watu8

C.A.G:City hunter J

Wizara ya mambo ya nje:Heaven n earth


endeleeni kupanga wizara...
mabadiliko ruuksa
 
Wizara ya mahusiano Karucee ........
 
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Kutokomeza Mkono wa Sweta hii ingemfaa Gogle
 
mie ngekuwa makamu wa raisi......
 
Wizara ya elimu sayansi na technology Himidini
 
@asprin angekuwa wizara ya wageni , ukaguzi; na usalama wa jukwaa
 
Wizara ya ulinzi na usalama @king'asti
 
hii nchi ingekuwa maskini wa kutupwa maana wananchi wake wengi wanawaza chini ya zip code
 
wizara ya ***** *****, udaku na makavu live @lara1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…