Haya mambo ya kupambana ma umasikini yameishia wapi...Naona wahusika karibia wote sasa wana onekana mafisadi... hii ime kaaje?
Huyo MKUKUTA mara ya mwisho alionekana ameongozana na Gaddafi. Sasa sina uhakika kama watakuwa wameondoka wote au vipi.
huu ni mkakati wa kuondoa utajiri na kuongeza umaskin tanzania,bado unaendelea
Kilimo Kwanza amechukua nafasi yake.