usinifanyie hivo buraza, unataka kuniua eh! sasa naweza vipi ku-control mihemko? funguka vizuri bhanaKabla ya kuanza kunywa maji ya betri lita mbili changanya na pilipili na unga wa ubuyu...kisha lete feedback hapa...lakini pia jaribu na kukontroo mihemko...sawaee
Kula LIKE! Well said mumy, aoe ndipo aje atuulize hapa.Unatafuta satisfaction ukijua kua unamkosea Mungu. Oa kwanza bro
ok, mwaka ujao mwanzon tunaanza vikao, nasubiri pledge yako tu.
10 min is a very respectable time, we ulitakaje?
Je, mwenye mimba vikao vya kumwacha vinaanza lini?ok, mwaka ujao mwanzon tunaanza vikao, nasubiri pledge yako tu.
Yaani wewe hadi mtu anaomba 'poo' ww unaye tu, hivi unafikiri unamfurahisha? Unamuumiza tu na ww unajimalizia tu nguvu kazi yako,kweli username yako inaendana na tabia yako maana ungekuwa wa kawaida ungemuonea huruma mwenzio,halafu nani kakudanganya magol mengi ndo ujanja? Km mwenzio anakuwa hajaridhika jua hapo unakuwa umejifunga mwnyw, ni kawaida sna kwa bao la kwanza kuwa dk hizo,halafu uache uongo 30 mins unasukuma tu pipe?!??? Huu ni uongo mkubwa!

mie nadhan la kwanza has to last for 20min nakuendelea..
Inaonekana una uzoefu sana...
habari za leo wana MMU,
mim ni kijana wa miaka 28, nina galfrnd wangu ambae huwa tunakutana mara moja au mara mbili kwa mwezi kulingana na ratiba inavyoruhusu, sabab hatuishi karibu sana na kila mtu anafanya kazi, so inakuwa ngumu kukutana katikati ya wiki hivo hukutana wkend tu.
tatizo ki kwamba tukikutana bao la kwanza sichukui dakika, yaan fasta sana. ingwa hujitahidi na foreplay na kumpa orgasm kabla sijaingiza.
napumzika kama 10 min naanza round ya pili, hapo nitachukua kama 10 min kumaliza. napumzika kama 30min naenda ya tatu, hapo nakaa kama 20 min. round ya nne inakuwa poa nakaa zaid ya 30 min. ya tano mpaka anaomba kupumzika yeye mie bado.
kinachoniumiza kichwa ni kwa nin nashindwa ku-control round ya kwanza na ya pili nisichukue muda mrefu kumaliza?
wadau naomba ushauri naweza kufanya nin kuondoa tatizo hili, au ni hali ya kawaida kama nikipata tamu mara kwa mara litaisha..
nawasilisha....