Mhhh ngoja kwanza Mamndenyi unasema unataka uone file la Dena Amsi kwa nini
Lina siri zetu za muhimu sana ndo maana liko strong room
yeah Mr Rocky amekuita hapa strong room kuna mazungumzo maalumu na ya siri baina yetu wawili tunataka tufungue seal za file lako zitoke hadharani watu washaanza kuhoji kuna nini
Mhhh Passion Lady pagumu hapo hug na kiss za binamu nizikose hivi hivi hapana bora ndoa iingie ICU kwa kweli The secretary mchunge mumeo bana anachafua hali ya hewa sana huyu Bishanga
Mimi nipe kwenye cha kumi huwa nachukua kutwa nzima nifanyeje?????????/nitakupa kwenye cha sita
hivyo vingine watatoa wanaofahamu.
hahahaaa!!binamu una makubwa wewe
mie simo lakini!!
ungesema na ya sita inachukua dakika ngapi.
Binamu Passion Lady tuko na Dena Amsi strong room tunasoma file lake muda sio mrefu tutawaletea taarifa rasmi Mamndenyi baadae nasoma kwanza file hapa
Copy Erickb52
atiiiiii?!!!!banamu mi ushahidi
sitaki kabisaaa!! Dena Amsi kulikoni na binamu?
​ok!!nasubiri taarifa kwa hamu binamu!!Binamu tunapitia file kifungu kwa kifungu na bada ya muda tutatoa taarifa rasmi kwa mwenyekiti Baba V
So binamu Passion Lady subiri Dena Amsi atakuja hapa soon kukupa taarifa
copy Baba V
MhBinamu Passion Lady tuko na Dena Amsi strong room tunasoma file lake muda sio mrefu tutawaletea taarifa rasmi Mamndenyi baadae nasoma kwanza file hapa
Copy Erickb52
​ok!!nasubiri taarifa kwa hamu binamu!!
Mh
Haya endeleeni kusoma
masaa sita na dakika 18
Mh
Haya endeleeni kusoma
Mimi nipe kwenye cha kumi huwa nachukua kutwa nzima nifanyeje?????????/