ha ha ha ha...., usinifanyie hivo bhana, we nipe maushauri hapo
we si ndo uliniacha?
I thought you were dead and gone.
Hivi hii topic mbona kama nimeiona MMU??
habari za leo wana chit-chat,
mim ni kijana wa miaka 28, nina galfrnd wangu ambae huwa tunakutana mara moja au mara mbili kwa mwezi kulingana na ratiba inavyoruhusu, sabab hatuishi karibu sana na kila mtu anafanya kazi, so inakuwa ngumu kukutana katikati ya wiki hivo hukutana wkend tu.
tatizo ki kwamba tukikutana bao la kwanza sichukui dakika, yaan fasta sana. ingwa hujitahidi na foreplay na kumpa orgasm kabla sijaingiza.
napumzika kama 10 min naanza round ya pili, hapo nitachukua kama 10 min kumaliza. napumzika kama 30min naenda ya tatu, hapo nakaa kama 20 min. round ya nne inakuwa poa nakaa zaid ya 30 min. ya tano mpaka anaomba kupumzika yeye mie bado.
kinachoniumiza kichwa ni kwa nin nashindwa ku-control round ya kwanza na ya pili nisichukue muda mrefu kumaliza?
wadau naomba ushauri naweza kufanya nin kuondoa tatizo hili, au ni hali ya kawaida kama nikipata tamu mara kwa mara litaisha..
nawasilisha....
Bao ndio nini?
mh!!wala hujaugua
siku zote cha kwanza
kina kiherehere kwani hujui?!!