Mpangawangu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2014
- 887
- 965
MBONA CONGO-DRC HAKUNA MIJADALA WALA MAKONGAMANO NA TAIFA LAO LIPO IMARA? (KABILA SI ANATAWALA?)
Tuache kujadili mustakabali wa nchi,tuwaache wao wanaojua kila kitu na wenye mamlaka ya kikatiba ya kujadili mambo ya nchi peke yao.
sisi tujadili Mpira wa Simba na Yanga,Arsenal na Manchester.
Tujadili nani anapesa nyingi Tanzania ,Afrika na Duniani.
Tusijadili bajeti ya nchi yetu,Maana sisi si sehemu wenye mamlaka kuijadili.
Sisi tujadili mapenzi ya Diamond na Joketi.
Tujadili Bifu la Ally Kiba na Diamond,
Tujadili Video ya Chura ile Snura.
Hapo hatutasumbuliwa na Polisi,hatutapigwa mabomu,
Mbona Wananchi wa CONGO-DRC wamekubali yaishe? wao Mobutu aliwaamrisha wajadili namna ya wakongo kuwa wana Muziki bora?
Namna wanaume wanatakiwa kuji soap soap wafanane na madame na bado wacongo hawajali?
Ninyi hampendi Tanzania iwe kama Congo?
Wameshaimba wataisoma namba.
#Sisi ni Nasaba Duni#
#Wao ni nasaba Bora#
J.K.Maarufu.