Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Niko naangalia TV hapa katika kutafta habari namwona Waziri wa Elimu Prof Joyce Ndalichako yuko kigoma akihutubia mkutano wa hadhara.
Tena anadai kuna watu wanataka kuwagawa watanzania kwa udini na ukabila na wataleta vita.
Najiuliza mbona muhimili uliojichimbia chini sana alisema mikutano ni kwa wabunge wa majimbo na eneo lake sio vinginevyo je huyu ni mbunge wa jimbo gani?
Na je hii mikutano kwa upinzani ndo ina intelligence ya vurugu tuu