Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,792
- 18,719
Hivi huyu mama naye ana asili ya Kisumu kama Obama? Nasikia Obama alikutana naye alivyoenda Kisumu kuangalia alikozaliwa baba yake! Hata ukimuangalia hajakaa kama mtu aliyezaliwa na kukulia kwenye sehemu zenye bata! anaonekana ana ufull ulimbukeni!
View attachment 194968
View attachment 194968