Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,362
- 26,945
Unauliza nzi chooni?
Acha UmbeaHili ni lazima liwekwe wazi ili umma ufahamu ukweli
zipo taarifa kwamba alikwisha timuliwa kwenye chama cha ADC , vyombo vya habari mbalimbali viliripoti na kila mmojawetu ni shahidi ( SAID MIRAJI UNAWEZA KUJA KUFAFANUA HILI ) , kwenye uchaguzi wa marudio ule uliokataliwa na wananchi na pamoja na dunia nzima mh huyu aligombea urais wa zanzibar kwa kulindwa na Mtukufu Salim jecha maana tayari alikwishatimuliwa na chama chake.
sasa utata wangu ni kule kuteuliwa kwake kuwa waziri kwenye serikali ya zanzibar ( sina ugomvi na uteuzi wake ) , lakini je ameteuliwa kama raia yeyote wa kijiweni mwenye sifa ya uzanzibar tu ama ameteuliwa kama mpinzani anayetokea chama cha ADC ?
Hili ni lazima lijibiwe ili tuujue ukweli na ili tuweke utaratibu wa kuheshimu maamuzi yanayotolewa na vyama vya siasa dhidi ya wanachama wakorofi wanaopuuza katiba za vyama vyao .
Hili ni lazima liwekwe wazi ili umma ufahamu ukweli

Mkuu bas cc tuko tayar hata leo tufanyajaje zaid ya kuzungusha mikono na kudek barabaraKKwani huko kwa wenzetu hakuna jeshi wala polisi?! hakuna dhambi mbaya kama uoga.
Haya ndugu ofisa nimekuelewa .Acha Umbea