I see! π€
Anashitakiwa tena kwa mujibu wa sheria za nchi.Yaani kwa mfano mfungwa ambae kashahukumiwa kifungo labda cha miaka kadhaa akiwa huku huko gerezani labda akafanya kosa kubwa tena zaidi ya lililomfunga je hukumu yake inaongezwa akiwa huko huko gerezani au anatolewa anapelekwa tena mahakamani anahukumiwa tena au anahamishwa tena gereza?