Hivi Maxence Melo angekuwa msanii angekuwa mbana pua au angekuwa anachana?

Ukaripoti kwa mod yoyote aliye online kabla ya kesho saa nne asubuhi utakuta ujumbe wangu huko
 
Akiwa mahakamani utafikiri King Kiba yupo na wanahabari 😆afanye kuomba kolabo chap atatoka 😜 aanze na rmix ya mshumaa😳
 
Ahahahah..Umenikumbusha enz niko tosa kuna mdau mwenzet form 5 alimshushia kichapo second master kuanzia bwenn halaf akamvizia tena assemble ..dah..nikaona dooh!!! Huu sio ujasir wa kawaida
Hivi alikuwa second master, au alikuwa assistant academic master? Si unamzungumzia yule Mzee alikuwa anafundisha Economics? Na punde baada ya tukio akawa Headmaster shule mojawapo huko vijijini?
 
Hivi alikuwa second master, au alikuwa assistant academic master? Si unamzungumzia yule Mzee alikuwa anafundisha Economics? Na punde baada ya tukio akawa Headmaster shule mojawapo huko vijijini?
Exactly mkuu...kulikua na ma second wawil dat time na huyu alikua mmoja wapo.Jina lake mtavangu .mwingine alikua anaitwa sadani.
Academic alikua anaitwa mgimwa ticha wa physics.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom