Hivi mashirika ya habari kama ya BBC au DW yanajiendeshaje?

Hivi mashirika ya habari kama ya BBC au DW yanajiendeshaje?

Ruzuku. Grants. Aids.

Najaribu kuelezea kuhusu vyanzo vya mapato vya baadhi ya miradi tunayoiona kwenye jamii zetu.

Unajua, kuna ishu nyingine ni kama huduma tu. Kuna wahisani husaidia kuziendesha ili kutimiza malengo au kusudi fulani, not profit making.

Sijui kama hao uliowataja wanaangukia humo ama la!
Nafikir hata mm,maana Kuna lile shirika la habari la umoja wa mataifa
 
bbc wanapata fedha kupitia license fee, yani ukiishi uibgereza ili uone chaneli unabidi ulipie, kama huku tinavyolipia ving'amuzi, sasa hiyo kulipia ndio bbc wanasimamia kupokea, yani fikiria kibongobongo msimamizi wa masuala ya ving'amuzi na urushaji chaneli angekuwa tbc halafu kodi ukilipwa anapokea tbc na raia akilipa king'amuzi kuwe na percent ya tbc, hivyo ndivyo bbc inavyojiendesha
Tv License na ving'amuzu ni vitu viwili tofauti. Tv license unalipa na king'amuziu ukinunua unakilipa tofauti. Mfano kama una sky decoder utalipia kila mwezi na tv license utlipia kila mwezi mpaka £150 yao itimie.
 
Kodi za wananchi wa Uingereza zinaendesha BBC.
Halikadhalika na DW inavyoendeshwa na wajerumani.
 
Ruzuku za serikali za nchi zao
Hua sielewi hili shirika mapato yake yanatokana na nini maana kila sehemu karibu yote ya dunia hua wana waandishi wake wa habari na watangazaji je kipato chao hadi kujiendeleza na kuwalipa hadi baadhi ya redio za hapa afrika mashariki kwenye vipindi vyao hua wanapataje kipato cha kulipia matangazo yao hapa.
 
Back
Top Bottom