Solo Traveller
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 1,724
- 5,170
Nimeenda ofisi Fulani kupeleka barua kuhusu mambo Fulani.
Secretary kwa mapozi ananijibu barua hii itachukua mwezi kujibiwa.
Nikamuuliza utanisaiidiaje Sasa anasema Hana msaada wowote anachukulia poa.
Wakati maombi ya barua yangu yanahitaji wiki ili kutekelezwa
Naona ananipandishia sauti juu nikuambie oya sikia nipe barua yangu ntapeleka mwenyewe.
Anagoma nikamwambia oya wewe nipe barua huku kichwa na Macho mekundu...amenipa
Sasa nipo ofisini kwa mkuu wake ili anisaidie kiukweli ninasumbuliwa na ugonjwa wa hasira naweza hata kumfumua makofi