Hivi maralia iko Kanda ya ziwa tuu jamani????!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi maralia iko Kanda ya ziwa tuu jamani????!!!!!

Discussion in 'JF Doctor' started by KIBURUDISHO, Feb 1, 2012.

 1. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 953
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Heshima zenu wakuu.Nimekuwa nikisikia redioni kuhusu tangazo juu ya kampeni ya upuliziaji dawa ya ukoko ya kuua mbu waenezao ugonjwa wa maralia kwa wakazi wa kanda ya ziwa kwa mikoa ya Mwanza Mara Kagera na Shinyanga, swali langu kwa Wizara ya afya hivi ugonjwa wa maralia uko kanda ya ziwa tuu??????????
   
 2. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Bagamoyo ni karibu na Da Slum
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mi mwenyewe nimelisikia tangazo hili na kutafakari bila ya majibu!
  Hebu tusubirie wadau waje!
  Muda huu wamepumzika!
   
 4. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  The government is on financial deficit and therefore can not afford to run such an expensive anti-malaria programme in all zones at a time. The Lake zone was given first priority owing to high malaria incidence rate there but other zones are also set to be reached.
   
Loading...