Kugegeda kupo lakini si kuna ustaarabu wake? Mambo ya mme wa mtu, mke wa mtu, kuharibu kazi sababu hiyo, kugombana na wenye nyumba, na mengine mengi yanayoharibu sifa na uzuri wa mtu yanatokana na nini? Pia kuna kuvuta simile mpaka muda ukiwa muafaka. Kuna kusubiri kwa ajili ya masomo, safari, ugonjwa, n.k. Au watu8 wewe waonaje? Kuna watu ameolewa/oa lakini bado yupo rodini asubuhi-jioni akisaka ngono.Kwani wewe huwa hugegedani?
ShemejiiiiiiiiiiKwani wewe huwa hugegedani?
Kugegeda kupo lakini si kuna ustaarabu wake? Mambo ya mme wa mtu, mke wa mtu, kuharibu kazi sababu hiyo, kugombana na wenye nyumba, na mengine mengi yanayoharibu sifa na uzuri wa mtu yanatokana na nini?
Ha ha ha...ni watu wachache sana wenye uvumilivu huu.sissytz said:Pia kuna kuvuta simile mpaka muda ukiwa muafaka. Kuna kusubiri kwa ajili ya masomo, safari, ugonjwa, n.k. Au watu8 wewe waonaje?
Huyu wa namna hii ni mtumwa wa ngono.sissytz said:Kuna watu ameolewa/oa lakini bado yupo rodini asubuhi-jioni akisaka ngono.
Shemejiiiiiiiiii
Hii ni siri sirini...!!!Rabeka...shem hebu nawe mwaga uzoefu wako basi...
Wanajukwaa,
Nimekuwa nikisoma mada mbalimbali huku MMU imebidi niwaombe tuweke koma tuwaze kidogo; hivi ni kweli TZ imefikia huko? Kila siku vituko vya mapenzi: leo boss ananitaka, kesho mwenye nyumba anamtaka fulani, mara mtu kalala na mama na mtoto, mwingine kafumaniwa, wengine wakutwa gesti na mke wa mtu, mwingine kapiga nyeto, n.k, n.k, n.k. Sasa najiuliza, hebu tusemezane asema Bwana wa Majeshi
Je, ni kweli akili ya wanadamu ipo chini ya kitovu tu au mengine kufurahisha tu jukwaa?. Kama ni kweli, muda wa maendeleo si umepungua sana?
Chamsingi ni watu kubadilika kitabia ila mimi siamini kabisa yakwamba watu wenye ngozi nyeusi tu ndo huwa na tabia ya kupenda ngono.Je mtu akisafiri mbali bila mpenzi na muda mrefu kama wa miaka 3 labda sababu ya masomo, labda amefika nchi mademu au wanaume hawataki ngono na ngozi nyeusi (wabaguzi) si kuna kuchanganyikiwa kwa kukosa ngono?
Mi siamini! Ninyi mwaonaje!
Hii ni siri sirini...!!!