juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,480
Yeah hata mimi naunga mkono hoja, Atafute pesa ili aje ang'oe vimwana warembo kama Evelyn chumvi, wao ukiwa na hela tu imeisha hiyooo[emoji23][emoji23]kijana tafuta pesa....ni hayo tu.
ndio ivo,hata mke utataman akuondokee ubaki pekeakoHabari za siku nyingi wana MMU?
Nisipoteze muda nije kwenye mada kuna mwanamke nimetokea kumpenda sana, namfahamu kama miaka minne iliyopita lakini sikuwahi kumtongoza na wala hatukuwa na mazoea wala salamu.
Baada ya miaka miwili nikaamua nianze kumpa salamu akipita maeneo yangu au tukionana njiani.nilitaka kwanza anizoee ili siku nikitupa nyavu nisiwe ni mtu mgenikwake.akawa anaitikia salamu vizuri bila wasiwasi .sasa baadae nikashangaa ghafla hataki salamu yangu na nikimsimamisha hataki hata kusimama.
Na mimi sikukata tamaa kumsalimia na kumsimamisha.mwaka huu nikaongeza bidii ya kumuomba anisikilize shida yangu.ndipo kuna siku akasimama akanipa namba yake ya simu.tukaanza mawasiliano katika simu lakini akanichomolea. Baadaye aliponizoea akaniambia jambo ambalo limeniduwaza sana,akaniambia alinipenda sana kuanzia siku ya kwanza aliponiona na alikuwa anatamani nimwite nimtongoze ila mimi sikuwa na time nae wala mazoea naye.
Akaniambia aliponizoea kuniona mapenzi kwangu yakafa akawa hanipendi wala havutiwi tena na mimi.ananiambia kwa sasa ananiona wa kawaida tu so hana feelings na mimi kabisa.sasa nijiuliza je mapenzi huwa nayo yanaexpire kiasi kwamba inawezekana ukawa unamuona mtu ni mzuri ila after a few days ukaanza kumuona ni wa kawaida tuu?
Fafanua atafute pesa katika kiwango gani toshelezi ilihali wenye pesa kama akina Jeff Bezos na Dangote wanazo lakini bado wanazitafuta hadi leo hii[emoji848]kijana tafuta pesa....ni hayo tu.
akibisha atembee na fire extinguisher😄kijana tafuta pesa....ni hayo tu.
za kutosha kuhudumia penzi....Fafanua atafute pesa katika kiwango gani toshelezi ilihali wenye pesa kama akina Jeff Bezos na Dangote wanazo lakini bado wanazitafuta hadi leo hii[emoji848]
hapo umenena njoo chukua pesa ya sodaSifa ya Binadamu, huzaliwa, huishi, hufa.
Kabla ya kufa kuna kitu kinaitwa "utility" Wahasibu na Wana uchumi wananielewa kuwa "kadri ya kitu chochote kinavyozidi kutumika ndivyo hupunguza ubora wake wa asili"
Sasa unategemea Babu wa miaka 60 atawika vizuri kwenye mapenzi moto moto kivitendo hususani kujamiiana kuliko kijana wa miaka 16 au 18?
Ndivyo jinsi ilivyo hivyo hiyo inshu ya kuchuja kwa mapenzi na si mapenzi tu bali hata inshu zingine kimaisha.
yote saw lkn kwny kumbukumb xo kwelMaua hunyauka, story huisha na kumbukumbu husahaulika kabisa...