katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
- Thread starter
-
- #61
1. Ndugu yetu ndio kamtafutiaSina uhakika lkn nahisi hii thread haijakamilika. Nna swali kwa huyo mdogo wako, umesema huu ni mwezi 6 sasa Manager anamtaka je huyo Manager anamtolea vitisho akiwa kazini? Pia kabla hajapata kazi je aliombwa rushwa ya ngono na huyo Manager? Je Manager anaweza kua na mahusiano na wafanyakazi walio chini yake? Hapo ni kwa ridhaa zao au wanafanya mahusiano kwa makubaliano ya upendeleo kazini. Nijibu hayo' Nachoshauri kwasasa hatakiwi kuacha kazi ila afanye uchunguzi na kuomba ushauri kwa watu anao waamini kwa mawazo yao kwa maana Takukuru lazima kuwe na ushahidi wa mtendwaji kulazimishwa kitendo icho.
Ngoja nikuambie kitu mie nitampa makavu tu tegesho la hatari nje muda sio mrefu mie ndio takukuru when you want to be ahead of a lady a lady she will show you that she is clever .Mkomeshe. Mnyime na umpevmmiliki...halafu mwambie meneja anakutaka...[emoji38][emoji28][emoji1787]
Morning ni job mpaka saa nane .Acha kutuchanganya asee, miezi 6 hiyo shule anaenda sangap
Hujui au unatuchoraKuna mtu anafosi kula mzigo kimasihara
Ila nitamtokelezeaKwenye nyanja ya ajira anachokifanya manager huyo ni udhalilishaji na ubaguzi mkubwa. Inatakiwa sheria iwekwe ya kuwafunga watu hawa hata miaka 20. Mtu ukisha kuwa bosi ukitoka kimapenzi na huyo mtu tayari unakua upo moral wrong maana mkiaachana tu lazima utampendelea na hata msipoachana akiharibu utamtetea. Professionalism pamoja na moral ethics zinakataa jambo hili. NI UDHALILISHAJI WA KINGONO KAMA KUBAKA. HAKUNA CONSENT HAPO MAANA ANAOGOPA.
Kuna wa secondary anaajiriwa kazini?Si wa chuo huyo ama secondary!?
Mkuu umefanya siku yangu iishe vyema hahahaha nimekumbuka jinsi tunavyosajili na jina kabisa hahahaha ngoja nitafute muda nirudi kwenye FIFAMi muda pekee naitwa meneja ni ninapocheza Master League kwenye PES au Career mode kwenye FiFa je na mimi nahusika humu?
Sasa huyo wa chuo ni mtu mzima!!Kuna wa secondary anaajiriwa kazini?
Sasa huyo wa chuo ni mtu mzima!!Kuna wa secondary anaajiriwa kazini?
Huyo na mdogo wake ni watu wa ajabu sanaaaNashangaa kwakwel yaan mtu kutongoza ni kosa ? Mwambie aache utoto hata huko takukuru wanatongozana [emoji41]
Meneja nipo hapa,
Tutafute suluhu ya kiutu uzima!!!
Wanajitoa akiliHuyo na mdogo wake ni watu wa ajabu sanaaa
Hivi huu ni mwezi wa sita?amemsumbua kuanzia mwezi wa kwanza hadi huu wasita
22 ni mtu mzima tayariWeweee acha hizo bhana bado mdogo ni 22 tu eti
Ni student yupo parttime job na shule pia