Mleta mada, ni hali ya kawaida kwa wamama wajawazito wengi, mimi mwenyewe nakumbuka nilikuwa mkali sana, nilikuwa simpendi mwenye mimba yake, kila nikijitahidi nimpende ndo kwanza akifika tu kelele zinaanza, baada ya kujifungua ile hali ilibadilika nikarudi normal kabisa, so vumilia hadi ajifungue after 1 to 3 month nadhani atachange, kama hata badilika hapo kutakuwa na kitu