Kitendo cha mkuu wa wilaya ya kinondoni kuwataka wafanya biashara wa magari kufanya biashara hiyo kwenye sehemu moja kama gulio hivi huo ndio utawala bora?hajui kuwa biashara ni nafasi?
ingawa simpendi wala sijawah kumkubali huyu jamaaa ila kwa mara ya kwanza naungana nae.
show room za magari zimekuwa kama uchafu huku mjini. kila nyumba ina uza magari. sehem za kuotesha miti nyumba zipendeleze watu wamerundika magari
ukitembelea nchi tofauti tofauti duniani utaona kuna eneo moja kubwa linakuwa limetengwa kwa ajili ya kuuza magari
kwa hiyo nakubaliana nae 100%
Wewe siku zote huna ujuwalo zaidi ya uzombie
Sasa wewe ni zumbu kuku unajua maana ya plan? Jiji limeja vishoroom mpaka mabondeni ni muhimu pakawa na sehemu maalum ili tukusanye kodi zetu bila wasiwasi
Big paulo makonda...........at work.....
Kwani makonda ndiye mhuska wa kuplani miji?ndio maana nimesema hajui wajibu wake hiyo ni kazi ya Ded
Ded tupa kule makonda kila sehemu anapita au mlitaka akae kimya mlete unafiki afanyi kazi sasa hivi akina cha mkurugenzi wala meya makonda anapita kila kona tena angalia asije akabomoa na hako kajumba kenu hapo...
Bahati mbaya makonda yupo chini ya utawala wa ukawa
Nikisema IQ yako ni majanga unahemea juuu juu nyani we
Yes Paul Makonda anajua wajibu wake huu hapa kwenye taswira;
Mkuu wa Wilaya Kinondoni Paul Makonda akimbeba Ridhiwani Kikwete.