Risk manager JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 8,837 Reaction score 17,491 Feb 11, 2025 #1 Habarini wanajukwaa!! Nimepata kero hapa mpaka nashindwa kutatua, naombeni kufahamishwa. Ni hivi nimenunua umeme hapa Ila nimekatwa Makato ambayo sio stahiki Mana mara ya mwisho nilinunua November mwaka jana . Sasa Leo nimenunua wa 15000 nashangaa wanakata deni 10500 napewa umeme wa 4500 sawa na unit 12.6. Nimeweka hapa na receipt. Wenye uelewa naombeni kufahamishwa
Habarini wanajukwaa!! Nimepata kero hapa mpaka nashindwa kutatua, naombeni kufahamishwa. Ni hivi nimenunua umeme hapa Ila nimekatwa Makato ambayo sio stahiki Mana mara ya mwisho nilinunua November mwaka jana . Sasa Leo nimenunua wa 15000 nashangaa wanakata deni 10500 napewa umeme wa 4500 sawa na unit 12.6. Nimeweka hapa na receipt. Wenye uelewa naombeni kufahamishwa
Edo kissy JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 4,909 Reaction score 12,924 Feb 11, 2025 #2 Wanakuja TANESCO
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,416 Reaction score 103,912 Feb 11, 2025 #3 Bado ni 1,500 kwa mwezi, labda ulikua na deni. TANESCO admin wa ovyo kama yupo online atajibu.
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,600 Reaction score 59,757 Feb 11, 2025 #4 Ego is the Enemy said: wanakata deni 10500 Click to expand... Post paid hio labda ulikua unatumia luku bila kulipa wakawa wanakusuburia tu uweke wakupige upanga wao
Ego is the Enemy said: wanakata deni 10500 Click to expand... Post paid hio labda ulikua unatumia luku bila kulipa wakawa wanakusuburia tu uweke wakupige upanga wao
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,600 Reaction score 59,757 Feb 11, 2025 #5 Mad Max said: Bado ni 1,500 kwa mwezi, labda ulikua na deni. TANESCO admin wa ovyo kama yupo online atajibu. Click to expand... Post paid mfumo mpya waliokua wanautest unatumia kisha wanakupiga panga ukiweka hela
Mad Max said: Bado ni 1,500 kwa mwezi, labda ulikua na deni. TANESCO admin wa ovyo kama yupo online atajibu. Click to expand... Post paid mfumo mpya waliokua wanautest unatumia kisha wanakupiga panga ukiweka hela
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,416 Reaction score 103,912 Feb 11, 2025 #6 Ambivert88 said: Post paid mfumo mpya waliokua wanautest unatumia kisha wanakupiga panga ukiweka hela Click to expand... Bila kuomba kuungwa au?
Ambivert88 said: Post paid mfumo mpya waliokua wanautest unatumia kisha wanakupiga panga ukiweka hela Click to expand... Bila kuomba kuungwa au?
Risk manager JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 8,837 Reaction score 17,491 Feb 11, 2025 Thread starter #7 Ambivert88 said: Post paid hio labda ulikua unatumia luku bila kulipa wakawa wanakusuburia tu uweke wakupige upanga wao Click to expand... No, nimeweka umeme kilikuwa bado na unit Kama saba, yaani Kuna muda niliweka umeme wa ten nikapata unit Kama tatu , aisee nikiangalia labda nimeruka mwezi mmoja tu wa deni
Ambivert88 said: Post paid hio labda ulikua unatumia luku bila kulipa wakawa wanakusuburia tu uweke wakupige upanga wao Click to expand... No, nimeweka umeme kilikuwa bado na unit Kama saba, yaani Kuna muda niliweka umeme wa ten nikapata unit Kama tatu , aisee nikiangalia labda nimeruka mwezi mmoja tu wa deni
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 142,957 Reaction score 288,126 Feb 11, 2025 #8 Hela za uchaguzi ili kunufaisha ccm
Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 14,264 Reaction score 27,251 Feb 11, 2025 #9 Mfano umenunua umeme wa 20k Na matumizi yako siyo mengi ukafika nao mpk April Hapo katikati miezi miwili huoni hukulipa 1500*2=3,000 Naamini utavyoweka kiasi ambacho hukulipia watakata,!
Mfano umenunua umeme wa 20k Na matumizi yako siyo mengi ukafika nao mpk April Hapo katikati miezi miwili huoni hukulipa 1500*2=3,000 Naamini utavyoweka kiasi ambacho hukulipia watakata,!