Hivi maji ya Dodoma yana peroxide?

Maji ya Dodoma Kama unanguo chache...na nzuri hUtaki zipauke haraka..unafua na sabani ya kipande...unasuuza Mara mbili Mara tatu kutoa povu..

Kwa SABUNI ya Unga...usiloweke nguo zako nzuri za kutokea kwenye SABUNI
..unzaifua chap chap alafu unaanika juani na kuwai kuzianua ili zisipauke na jua...Kama Kuna kivuli hizo nzuri unaanika kivulini..

Kuhusu NGOZO Hilo Ni tatizo Lako binafsi lifanyie KAZI...Watu tuna ngozi nzuri TU huKU DODOMA.
 
Mkuu, kwa mujibu wa hii ripoti ya utafiti wa kisayansi, it seems kuna shida kubwa mno huko!!!

.....As listed in Table 1, groundwater samples both from Bahi-Mission (BAM) and Ilindi (IL2) seem to contain around 250 ppb Uranium which definitely exceeds the guideline value of 20 ppb set for drinking water by Environmental Protection Agency (EPA) or 15 ppb suggested by World Health Organization (WHO).

CONCLUSION
The presented results of ground water analysis show that the quality of drinking water in villages such as Bahi-Mission, Ilindi and Nagulu do not meet the minimum requirements in terms of chemical composition; high content of uranium, arsenic and lead might pose
serious health issues for local people who use these untreated water supplies on a regular basis. It is known that scarcity of water resource is a major problem in the region;
nevertheless, consumption of highly contaminated ground water should be avoided and
application of alternative solutions as far as possible is recommended.....
 
Mkuu, hivi jua kwa Dodoma ni kali kuliko Pwani, Dar..?
Waongo hao labda wawe hawaijui Dar. .. Kwanza jua la Dom halikutoi jasho linawaka kwa kiasi chake lakini kunakuwaga na kiupepo cha mbali mbali. In short jua la Dom halikeri kama la Dar
 
Maji ya Dodoma Kama unanguo chache...na nzuri hUtaki zipauke haraka..unafua na sabani ya kipande...unasuuza Mara mbili Mara tatu kutoa povu..

Kwa SABUNI ya Unga...usiloweke nguo zako nzuri za kutokea kwenye SABUNI
..unzaifua chap chap alafu unaanika juani na kuwai kuzianua ili zisipauke na jua...Kama Kuna kivuli hizo nzuri unaanika kivulini..

Kuhusu NGOZO Hilo Ni tatizo Lako binafsi lifanyie KAZI...Watu tuna ngozi nzuri TU huKU DODOMA.
@CreditAnalyst hujambo mamii, tumbo linaendeleaje? Nimefurah kusikia upo Dodoma.
 
Maji ya Dodoma Kama unanguo chache...na nzuri hUtaki zipauke haraka..unafua na sabani ya kipande...unasuuza Mara mbili Mara tatu kutoa povu..

Kwa SABUNI ya Unga...usiloweke nguo zako nzuri za kutokea kwenye SABUNI
..unzaifua chap chap alafu unaanika juani na kuwai kuzianua ili zisipauke na jua...Kama Kuna kivuli hizo nzuri unaanika kivulini..

Kuhusu NGOZO Hilo Ni tatizo Lako binafsi lifanyie KAZI...Watu tuna ngozi nzuri TU huKU DODOMA.
hata mim nashangaa nimekaaa miaka 3.nilikua mweupee.na kila nikienda huko nipo hapo mtaa wa barabara ya nane mtaa wa vitumbua na bajia na chai za kiswahil za viungo.sijawah kuwashwa.mtoa mada umezidisha.kufua kweli nguo fulia zile za sabun za mawing za buluu za kigoma chap anika kwenye kivuli.ya kunywa sinununue vi water purifier mbona zipo zinachuja maji 99%germ free.nenda hapo kamata junction kwa weoe jamaa wa vifaa zimejaa tele
 
Shida ya maji ipo palepale.
Sasa hivi ni mwendo wa mgawo tu jiji zima! Na huu mgawo umeanza toka August!

Dodoma yakijinga sana tunaishi basi tu, ila huyu mleta uzi aliyesema ukiogea ngozi inaharibika si kweli atakuwa na ngozi mbaya au kavu.
Unaposema jiji zima unamaanisha nn?? Mbona sie hapa tulipo maji hayajawahi kukatika hata kwa sekunde tu..
 
Hapo Ndiyo Dodoma Maji Yanatoka Mzakwe Kwenye Visima Vya Kuchimba. Kuanzia Nguo Kuoga Ni Changamoto

Ukiogea Ngozi Unazeeka Haraka Uliyosema Ni Kweli Tupu

Mkoa Ambao Una Ujanjaujanja Tu Wa Wanasiasa Una Shida Hizo
Yaani Asubuhi Mchana Jioni Sura Zimepauka, Maji Hayo

Nguo Ndiyo Usiseme!!!!!
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
😁😂😀😅😄😄😐😐
Una maliziaga vizuri sana..

Ila na wabunge nao wanatumia hayo maji?
 
Hahaaaa dah Mimi Hadi niliugua aisee, ule mkoa hapana watu wanawacheka wagogo bure lile jua limeharibu akili zao na hizi Niku kame ndo haswa
Kuna mikoa ji jehanamu.. nilienda huko 2015 nikapita na Mpwapwa, ndani ya week lipsi zimepasuka balaa.. nimepauka hatari..
 
Haya maji sio kabisaa, basi tu ila sidhani kama yanafaa kwa matumizi ya binadamu.
Eti makao makuu ya nchi
 
Back
Top Bottom