pocha2
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 890
- 396
Wakuu mi nauliza tuu,, utafiti wangu mdogo unaonesha kuwa katika madaktari wote karibu elfu nne sasa, hakuna hata mmoja ameshawahi kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri, japo kuna wawili watatu wanakaimu kwa miaka kadhaa. Hivi shida yao ni ukosefu weledi, uzoefu, uaminifu au uadilifu? Au ni kwa sababu wapo wachache nchini? Naombeni mchangie bila munkali.