Hivi machinga hawana chama chao watoe tamko?

Hivi machinga hawana chama chao watoe tamko?

twende kazi

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,520
Reaction score
461
Kwa kipindi kirefu nasikia hawa ndugu zetu wananyanyasika sana hususani maeneo ya miji mikubwa kama DAR,ARUSHA,MBEYA NA MWANZA..Naomba kama wana viongozi wao watoe tamko zito la kuilani serikali kupitia vyombo vyao vya dola hasa hii migambo juu ya unyanyasaji wao na ikiwezekana wafanye maandamano au kama vipi ndo iwe starting point ya mapinduzi kabisa(God forbid).Poleni sana ndugu zangu machinga njaa yetu na kuteswa pia kwetu ONE DAY YES...!
 
Back
Top Bottom