Hivi mabinti/wasichana mna akili gani?

Hivi mabinti/wasichana mna akili gani?

Kwani ulitaka kumwambia nini zaidi mkuu? Kakuwahi kubali yaishe huo ndio uanaume, hiyo habari ya umbo la simba, sijui chizi muokota makopo ni hasira tu.
 
Sasa we sigara kali umesema ukampgia umshtue, muonane ili iweje!!

Ulitaka ahisi utamfundsha masomo ya biblia
 
Madame S endelea na story "WANAWAKE WAUAJI"nimesubscribe Uzi naona kimya hadi sasa.Wanaweke Wauaji[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji377] [emoji377]
Hahahaha kesho inshallah ntatupia nimetupia tayar kuanzia 26 hsd 50 kacheki
 
Hahahaha kesho inshallah ntatupia nimetupia tayar kuanzia 26 hsd 50 kacheki
Poa madame S ngoja nikajifariji kule huyu manzi simba dume pozi kibao [emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Jioni hii nimekutana na binti flani kimo cha kati mweusi,juu mkubwa chini mdogo(umbo la simba dume)

Kavaa suruali ya kuchanika chanika kama chizi muokota makopo

Nikamsimamisha nikamwomba namba akanipa nikasepa zangu

Mida nikamtext vipi usharudi maeneo ya chuo(anasoma chuo cha kilimo LITI-MORO)

Eeeeh mtoto anaanza kutemba mbovu "Mara Mimi sio Malaya kama unavyofikiria" Mara "koma kuomba namba kwa watu usiowajua'' (nashangaa alikubali kunipa mwenyewe wala sikumlazimisha)

Nkamwambia Dada wewe kama unajihisi malaya bora uniambie tu manake mi nimechukua namba yako kwa upole tena umenipa mwenyewe,kukushtua tuonane basi unaanza kujishtukia eti nisidhani yeye Malaya

Hivi nyie mabinti muda wote mnawaza kutongozwa tu?

Ndo mana mabinti wengi wa nchi hii wanaishia kuzalishwa kumegwa na kuachwa coz wengi hawana akili ya kupembua mambo.
Hawana akili hao, dawa ni kuw@T0mB@ unawajaza mimba na kutimka zako.
 
Umekuwa na haraka sana Mkuu..ungemvutia kama wiki hivi..

Huyo anaonyesha alikuwa katoka kuliwa..alafu hakukatiwa mshiko.
 
Kutoa namba ya simu ni kufungua geti la mtongozo
Kuna ukweli kwa asilimia kubwa ktk hili, ila mtongozo siyo tatizo maana yatakuwa ni makubaliano yenu ya hiari pasipo kushurutishwa kwa namna yoyote ile, na kama hakutokuwapo makubaliano basi hakuna kitu kitaharibika maana kila mmoja atashika njia yake kwa amani kabisa
 
Unachukuaje namba ya mtu ana umbile kama simba dume au fisi?

Maana yake hao ni aina ya wanawake wako.

Komaa nae mkuu umtafune.

Labda alitaka ampeleke huyo simba dume kwa jike
 
WEWE VIPI BWANA NI MALAYA....KAMA SIO MALAYA BASI AVUE CHUPI TUPIMEKAMA NI BIKRA.
 
Acha haraka jamaa. Nenda slow cheza game yake then unamshinda on her own game.
 
Back
Top Bottom