Hivi Lowasa kamtaja Jk?

Kwanini slaa hakuwepo? Inamaana hakubaliana na maamuzi magumu?
 
Kikwete alivyoitetea Escrow, alafu baadae akamtimua Tibaijuka.., inanifanya nimuamini EL.

yaani sasa hivi timu mafisadi (ccm) sana sana mkuu wa kaya Baba riz anajamba tu huko, kumbe Hilo ndiyo jizi number one la nchi hii!!
 

Cha kushangaza, leo Lowasa kawa mzuri?
 
Hiyo nisawa na kumdanganya mtoto kuwa kidonge kichungu ni pipi ili ameze au atafune, ghafla anapo kionja hukitema mara moja.Ndo hoja za el na richmond 100% inamuhusu sana tu.
 
yaani sasa hivi timu mafisadi (ccm) sana sana mkuu wa kaya Baba riz anajamba tu huko, kumbe Hilo ndiyo jizi number one la nchi hii!!

Lowassa kuhama ccm pekee kumenifanya nimuone msafiii
 
Hiyo nisawa na kumdanganya mtoto kuwa kidonge kichungu ni pipi ili ameze au atafune, ghafla anapo kionja hukitema mara moja.Ndo hoja za el na richmond 100% inamuhusu sana tu.

mpelekeni mahakamani maana mna ushahidi
 
Kumbe mafisadi wapo Ccm tu, ukitaka kuokoka nenda UKAWA, sasa alivyokuwa anasema urafiki wake na Jk haukuanzia barabarani, kwa hiyo leo anathibitisha ulianzia barabarani, kweli mfa maji haishi kutapatapa.
 

Dk Slaa anaushahidi.
 
yaani Leo naona raha Sana, kumbe Baba riz ndiyo mwenye Richmond!!

Sasa kama hadi lowassa anajiuzulu Richmond ilikuwa haijalipwa hata shilingi...huo ufisadi aliufanya lini???lowassa kajitahidi kimlinda akamuona lofa..ngoja ccm wafungue mdomo kazi iendelee!
 
Domino Effect.
Mwisho wa siku jumba bovu linamuangukia yeye.
 
Ngoma bado ni lele sana. Si muda mrefu tutasikia kutoka CCM. Nao watakuwa na mengi ya kumjibu na kuanika kwa kina kwa nini walimkataa Lowasa. Sisi yetu macho na masikio. Tutajua mengi sana katika kipindi kifupi sana.
 

ukibeba mzigo usio wako utakushinda tu,Lowasa mzigo umemshinda amewalinda wapumbavu kwa muda mrefu sasa ameamua MUNGU Ambariki tukomboe nchi na uhuni ukae pembeni tufanye kazi za nchi.
 
jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeniiiiii
 

uko sahihi
 
Fisadi ashatajwa aje hapa nae akane.....afu huyu jamaa kila inapotokea ussue hot anakwea pipa hataki ushahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…