Kwa hiyo Lowasa si fisadi tena?Richmond ni ya jk alikuwa anakusanya hela za kampeni 2010.
2 different things:.1.EL alikuwa anatuhumiwa kwa ufisadi....2..EL alikuwa fisadi!Kwa hiyo Lowasa si fisadi tena?
Lowasa kachanganyikiwa. Ndo maana alikuwa anajiuma uma
Lowasa kachanganyikiwa. Ndo maana alikuwa anajiuma uma
Na ule ushahidi wa ufisadi mliokuwa mnao mlitoa wapi?
Inatakiwa ukapimwe akili mwafrika,unajua utumwa au mavi imekubana?nchi ni huru kama umekerwa na uongozi jiandikishe halafu Pig is Ukawa,kama wewe ni mtumwa ni ujinga wako,wengine hatujaajiriwa tumejiajiri.sasa hilo swali au jibu?jk aliuza nchi tokea hapo tuko utumwani tunahitaji kukombolewa
Hahaaa mkuu Lizaboni we ni one man army aiseee!!!
"Baada ya kugundua kuwa ule mkataba hauwezi kutufikisha pazuri niliita makatibu na mawaziri nikawambia mimi ni mtaalamu wa kuvunja mikataba mibovu,naomba na huu niuvunje,nikawasiliana na viongozi wa juu(rais) na baada ya masaa machache mjumbe akatuletea majibu kuwa mkataba huu usivunjwe"
»»Iifahamike nukuu hii si neno kwa neno.
je nani hapa anahusika?
Sasa tumegundua kumbe alikuwa ni mwenyenyumba aliyefanya udhalimu wa Rich mund ndiyo maana alishindwa kumshitaki alishindwa kumshitaki lowassa, eeee- bwana sasa kimeeleweka, malaika akiingia CCM asubuhi anakuwa shetani mwekundu. Kumbe?Richmond ni ya jk alikuwa anakusanya hela za kampeni 2010.