Hivi Lissu yupo?

Hivi Lissu yupo?

Bila shaka sasa maisha kwa watz yapo vizuri sana!

Hamna kero kabisa,

Maana si kawaida kwa huyu jamaa kuwa kimya namna hii!
JamiiForums1327454580.jpg
 
Maisha yapo muruwa kabisa kwasababu
Watu hawatekwi tena
Hawauliwi
Hakuna kubambikiziana case kishamba
Hakuna kufokeana hovyo
Kuna uhuru wa Habari
Watu ni wamoja na hawagawanywi kwa makabila wala vyama isipokuwa nyie wachachache
Mungu alitutendea wema sana
CCM oyeeeee!!!
 
Ameshalipwa BONUS na STAHIKI zake za kibunge....

Ukichanganya na "Fedha za wadhamini wa kimataifa"....mh.Lissu mtamu sasaaaaa.....

#SiempreJMT[emoji120]
 
Maisha yapo muruwa kabisa kwasababu
Watu hawatekwi tena
Hawauliwi
Hakuna kubambikiziana case kishamba
Hakuna kufokeana hovyo
Kuna uhuru wa Habari
Watu ni wamoja na hawagawanywi kwa makabila wala vyama isipokuwa nyie wachachache
Mungu alitutendea wema sana
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Back
Top Bottom