johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,521
Nauliza tu maana kuna dalili kama ni holiday hivi
Ahsanteni sana š¼
Ahsanteni sana š¼
Krismas ya Waislamu hawa akina Malaria 2 na THE BIG SHOW ?Leo ni birthday ya mtume wa watoto wa mama mdogo Muhammad (saw)
Karibu sana kwa ufafanuzi šKwa sasa, leo ni tarehe 5 Septemba 2025, na ndilo Maulid (yaani, Maulidiāsiku ya kuzaliwa Mtume Muhammad), ambayo ni sikukuu rasmi ya kitaifa nchini Tanzania .
Kwa ufupi:
Leo ni sikukuu, ni Sikukuu ya Maulidi (Prophet Muhammadās Birthday) nchini Tanzania .
Je, kuna unachotaka kujua zaidi kuhusu Maulidiākama ni kuhusu historia yake, jinsi inavyosherehekewa, au matoleo ya sikukuu katika maeneo tofauti ya Tanzania kama Zanzibar? Niko tayari kusaidia!
AI
Lucas anaisaidia Polisi ššHii tena ya nini? Nyie watu huwa mnaanzisha vurumai ili mje mseme mnalituliza!!
Kwa nini msiulizane hapo Lumumba na jamaa zako kina Tlaatlaah a.k.a mlevi Mbwa wa propaganda uchwara na Lucas Mwashambwa jamaa yako mnayegombea naye cheo cha Mkuu wa machawa mitandaoniššš
Sasa wale madogo wa Masaki mtawaweza kweli?
Ha ha ha naam mkuu, wao wanaiita mazazi ya mtume, maulid ingawa kuna wengine wanaipinga wanasema ni bidaaKrismas ya Waislamu hawa akina Malaria 2 na THE BIG SHOW ?
Usharusha kombora...šššLucas anaisaidia Polisi šš
Mwamba wa nini?Mwamba kazaliwa
Leo ni sikukuu ya kiislamuWakuu
Habari ya mwamko, nimeshtushwa na taasisi za kifedha nyingi kufungwa leo wanadai ni sikukuu. Naomba kujuzwa ni sikukuu ya nini na kwa nini ije kwa suprise.?
Sijui kakaMwamba wa nini?
Ndani ya Uislamu Kuna mnyukano mkali ,Kuna Makundi ndani ya sunni humo humo, wengine wanasema maulidi ni upagani wengine wanasema ni halalihamis77 kwanini Saudi Arabia hawasherekei hii siku?