Hivi lazima upinge kila serikali inachofanya?

Jabman

JF-Expert Member
Jul 27, 2016
1,005
1,337
Hapana, sipingi yote. Alichofanya Mkuu kuondoa wenye vyeti feki naunga mkono100%.
Naung@ mengi na nimepinga mengi pia.
Sema ukweli , unaunga mkono au kupinga lipi wewe?
 
Personally huwa ' sipingi ' bali hupenda na hujikita mno / sana katika kufanya kitu kiitwacho ' critique ' na pengine yawezekana ndiyo maana mpaka leo na Mimi sijatekwa wala sijatupwa Ununio mkabala na Mahaba Beach.
 
Usipopinga wewe sio mpinzani, pinga tu kila kitu hata kama unapinga bila kuonyesha nini kingefanyika.....kazi yako ni kupinga tu!
Cc: Zitto Kabwe.
 
Personally huwa ' sipingi ' bali hupenda na hujikita mno / sana katika kufanya kitu kiitwacho ' critique ' na pengine yawezekana ndiyo maana mpaka leo na Mimi sijatekwa wala sijatupwa Ununio mkabala na Mahaba Beach.
Kumbuka , Ben alikuwa anapiga critique PhD ya Mkuu, akaishia......................
 
Hapana Mkuu Ben alikuwa anafanya ' criticizing ' tena ya ' kutukuka ' kabisa na ndiyo maana hadi leo hatujui alipo.
Criticism looks for flaws in the writer as well as the writing/Critique addresses only what is on the page
 
alitukana tusi gani? (nyokonyokonyoko)???
Nadhan Genta yuko sahihi au Ben alifanya yote.......see here:
Criticism looks for flaws in the writer as well as the writing/Critique addresses only what is on the page
 
Hapana, sipingi yote. Alichofanya Mkuu kuondoa wenye vyeti feki naunga mkono100%.
Naung@ mengi na nimepinga mengi pia.
Sema ukweli , unaunga mkono au kupinga lipi wewe?

Sina ninachokipinga kutoka kwa mkuu wetu kwani ana nia nzuri tu na nchi yetu, isipokuwa wababaishaji wengi ndiyo wanaopiga kelele eti wanadai walizoea mteremko na hawataki kutumbuliwa.
 
Hapana, sipingi yote. Alichofanya Mkuu kuondoa wenye vyeti feki naunga mkono100%.
Naung@ mengi na nimepinga mengi pia.
Sema ukweli , unaunga mkono au kupinga lipi wewe?
Najua hata la kumchagua RC darasa la saba unaunga mkono..Kwa mujibu wa katiba RC Dar asingetakiwa kuchaguliwa sababu hana vigezo
 
Kupinga ni mbinu mojawapo ya uboreshaji,serekali bila kupingwa ni kuzorotesha utendaji wake.
 
Back
Top Bottom