Hivi kwenye imani kuna Uchawi eeh?

Hivi kwenye imani kuna Uchawi eeh?

Pa-Paa

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2024
Posts
2,202
Reaction score
3,179
Inakuaje mtu mpaka anaanza kumwamin mtu kama Tonny na wengine wa aina yake kiasi cha kumpa hela ati akiita sadaka, kwenda kushinda na kukesha huko?

Kwa akili ya kawaida haikuji, hawa huwa wanalogwa kwanza...🤔

They belong to very powerful .............
Unafikir hao wanakuja hivi hivi na kutoa mapesa hivi hivi . ...
 
They belong to very powerful .............
Unafikir hao wanakuja hivi hivi na kutoa mapesa hivi hivi . ...
Inafikirisha, kwani watu ni wapumbavu kias gan?
Wengine ukiwaona ni watu Smart kabisa kwa mwonekano.
 
Back
Top Bottom