Hivi kweli wanawake watarudishaje hadhi yao

Hivi kweli wanawake watarudishaje hadhi yao

REALITY

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
4,391
Reaction score
1,961
Maana hata ile hamu ya kuwa mke wako leo sioni wengi washavunjwa, wengi wanalelewa na mitandao, mavazi ndo watajua na nafsi zao na kingine kumwaga radhi ndo kila kona mitaani, media, makanisani and etc mi nahisi kuwe na tume ya kuchagua wife material na kuweka kwenye list ili nijue pale ndo naanzia kutafiti
 
wapole!!!! hata hakuna tofauti sasa ni shida mtindo mmoja
 
maana hata ile hamu ya kuwa mke wako leo sioni wengi washavunjwa,wengi wanalelewa na mitandao,mavazi ndo watajua na nafsi zao na kingine kumwaga radhi ndo kila kona mitaani ,media,makanisani and etc mi nahisi kuwe na tume ya kuchagua wife material na kuweka kwenye list ili nijue pale ndo naanzia kutafiti
wavulana wa kawaida hukutana na wasichana mapepe mwisho hulaumu... wasichana wapole hukutana na wavulana viwembe mwisho hulaani... hivyo mlinganyo unaopatikana jinsia zote mbili huona kama wenzao wakosefu na kuanza kupitia njia zisizopendeza kwa kueneza visasi kwa wasio na hatia... ZINGATIA; wasichana wema wapo halikadhalika wavulana, tatizo ni suala la muda na uchaguzi muafaka, maana "hakuna aliezaliwa na ubaya".. Mchango wa mwanajamiiforum fulani
 
Kwani unataka kuoa mkuu
 
Mrudishe kwanza hadhi ya kuwa WANAUME nyie si ndio vichwa!!
Mkishindwa basi mkubaliane tu na uhalisia ambao mmeujenga wenyewe.
 
fb ndo kuna wavulana na wasichana mkuu
 
Mrudishe kwanza hadhi ya kuwa WANAUME nyie si ndio vichwa!!
Mkishindwa basi mkubaliane tu na uhalisia ambao mmeujenga wenyewe.
sisi ndo tumewafanya muwe vyura sio
 
wako wanaume wema tena wazuri tu na pia wako wanawake wema tena wazuri sana lakini je?ww unaye taka hao wema au wenye tabia nzuri umeshajipima tabia yajo iko vipi Mungu hampi mtu kitu ambacho hajaomba humpa kile alichokiomba kwa hiyo kama wewe mwema ukiomba chema unapewa tuache tabia za kunyoosheana mikono kila mtu ajichunguze tabia zake je? zinaendana na kile ninachokitaka?alafu kila kilicho chema hutafutwa kwa gharama na gharama yenyewe ni kuomba kwa bidii.
 
chanzo cha yote haya ni vile vijanaume ambavyo huendekeza sana kichwa cha chini na kusahau kuwa wana vicha halisi ambavyo vina TetraBite zaidi ya 500000, mwanamke huenenda na mazingira anayovutiwa mwanaume, hivyo hivyo kwa mwanaume japo si kawa kiwango kikubwa. ili wanawake wawe wazuri lazima mwanaume awe mzuri kwanza, na mahitaji yake yawe ya stara. huwezi kukuta MWANAUME ana "bora mwanamke"
 
Back
Top Bottom