Hivi kweli Serikali yetu ipo serious na suala la nishati?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kweli Serikali yetu ipo serious na suala la nishati??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sekulu, Jun 7, 2011.

 1. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Hivi kweli tuna miaka 50 hatuna umeme wa uhakika, hii imekaaje?

  Nini mpango wa serikali yetu jamani??
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  tufanye maamuzi sahihi wa TZ, ccm hawana uwezo wa kuitoa hii nchi hapa tulipo tukiendelea kuwakumbatia ccm tutaishia kuwa maskini milele na milele amina
   
Loading...