aiseeee...Kuna nyuzi humu zinasema wanawake wanapenda watu wahuni mkuu subiri mke tu
hahahaha umeniwahi kusema ivoKuna nyuzi humu zinasema wanawake wanapenda watu wahuni mkuu subiri mke tu
Yaani we hujui tu.... Hizo Ndo sifa wanawake wengi wa siku hizi wanapenda.( sio wote). Mi nina wasiwasi wewe Unajua hili.. Wala hizi sifa huna... Umeeka mtego ili upate manzi kiulaini. Watu wajanja siku hizi [emoji16][emoji16][emoji16]Mimi nina kila aian ya sifa ambayo hakuna mwanamke anaipenda muhuni..mkorofi, mgomvi nisiejali...na nyingine mbaya tuu nauliza hivi kuna mwanamke wa aina hiyo au asie wa aina hiyo angependa nimuoe natafuta wa kuoa..am very honesty lakin labda hicho tu ndo maana hata nimeweza kukiri tabia zangu mbovu mbovu.
Hizo sifa unazo moyoni hiwezi kuzionyesha ukiwa na mahusiano. Show..Mimi nina kila aian ya sifa ambayo hakuna mwanamke anaipenda muhuni..mkorofi, mgomvi nisiejali...na nyingine mbaya tuu nauliza hivi kuna mwanamke wa aina hiyo au asie wa aina hiyo angependa nimuoe natafuta wa kuoa..am very honesty lakin labda hicho tu ndo maana hata nimeweza kukiri tabia zangu mbovu mbovu.