Hivi kweli mapenzi ya dhati yapo

Hivi kweli mapenzi ya dhati yapo

Shmy

Senior Member
Joined
Aug 3, 2012
Posts
148
Reaction score
55
Jaman nimeumizwa mpaka nimepata ugonjwa wa moyo. Kiac cha kwamba kila mwanaume anayenitaka naona taabu kufungua moyo wangu kwake. Nimewah kuwa na marafiki wawili wa kiume mpaka umri huu wa miaka 31. Nifanyeje jaman nataman kupata watoto ila nikikumbuka maumivu nlyopata nakosa ujasiri. Nishaurini mwenzenu.
 
Tatizo unachukulia mapenzi serious sana......utakufwa you know........hebu take it easy uone jinsi rahisi......try to have varieties you know.......only two.......mamamia........YOLO........Shauri yako.......
 
samaki mmoja akioza sio wote hawafai inaonekana una mtazamo hasi juu wanaume badilika kuanzia moyoni utampata wa kuinjoi nae love
 
Hajazungumzia mtazamo hasi hapa. Kasema katendwa mara zote anapokuwa kwenye relation, hivyo anaogopa kuingia tena.

Au wewe una maanisha nini unapozungumzia negative attitude?
 
Kwa nini ufikie kupata ugonjwa wa moyo, mapenzi siyo vita ni maamuzi tu. Yaweke moyoni lakini usiyaweke sana kichwani. Kama tatizo lako ni kuzaa,tafuta mwanaume uzae nae.
 
Jaman nimeumizwa mpaka nimepata ugonjwa wa moyo. Kiac cha kwamba kila mwanaume anayenitaka naona taabu kufungua moyo wangu kwake. Nimewah kuwa na marafiki wawili wa kiume mpaka umri huu wa miaka 31. Nifanyeje jaman nataman kupata watoto ila nikikumbuka maumivu nlyopata nakosa ujasiri. Nishaurini mwenzenu.

Kama tamaa yako ni kupata watoto tuu mbona simpo! Waweza kwenda hospital...watakupandikiza mbegu za kiume na utabeba mimba, hatimaye utapata mtoto/watoto.

Au katka madume wanaokutokea mkubalie mmoja, pimeni h.i.v, alafu zile cku za kutunga mimba jipeleke akakupe kibamia...usikwepeshe,. Baada ya wiki tatu, kapime kama una mimba. Kipimo kikionesha una mimbaaa, kata mawasiliano na aliyekupa mimba...endelea na maisha yako na usimwambi chochote kuhusu iyo mimba, BASI, TAMAA YAKO YA KUPATA WATOTO WAKO ITAKUWA UMEWINI. Na wanaume utawapotezea jumla. Nadhani nimekupa suluhu ya tamaa yako.
 
Hajazungumzia mtazamo hasi hapa. Kasema katendwa mara zote anapokuwa kwenye relation, hivyo anaogopa kuingia tena.

Au wewe una maanisha nini unapozungumzia negative attitude?

anahisi akifungua moyo atatendwa tena ni mtazamo hasi huo
 
Yapo ila siku hizi ni nadra sana kuyapata.

Jaman nimeumizwa mpaka nimepata ugonjwa wa moyo. Kiac cha kwamba kila mwanaume anayenitaka naona taabu kufungua moyo wangu kwake. Nimewah kuwa na marafiki wawili wa kiume mpaka umri huu wa miaka 31. Nifanyeje jaman nataman kupata watoto ila nikikumbuka maumivu nlyopata nakosa ujasiri. Nishaurini mwenzenu.
 
Last edited by a moderator:
Yapo sema wa size yako hujampata tu..atakuja kwa wakati muafaka na utayasahau maumivu yote ulowahi kupata....
 
Ndugu ugonjwa wa moyo unaujua au umeandika tu kimaandishi na hujawah umwa???? ....... Ila pole sana utampata atayekupenda kwa dhati
 
Jaman nimeumizwa mpaka nimepata ugonjwa wa moyo. Kiac cha kwamba kila mwanaume anayenitaka naona taabu kufungua moyo wangu kwake. Nimewah kuwa na marafiki wawili wa kiume mpaka umri huu wa miaka 31. Nifanyeje jaman nataman kupata watoto ila nikikumbuka maumivu nlyopata nakosa ujasiri. Nishaurini mwenzenu.
Ni pm tuongee,maana na mm nilianzisha thread hapa ya kutafuta mke ila responde haikuwa poa.njoo pm njoo tuzungumze
 
Back
Top Bottom