jonathan18
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 201
- 94
Sijakusoma una maanisha?
Pole kwa kutumiwa sms na shoga
Regards,
Jonathan.
Sijakusoma una maanisha?
Kabla hatujaenda kuchuingulia profile ya huyo mtu, labda nikuulize maswali haya ya kipuuzi
- Ulimfahamu vipi?
- Ilikuwaje akakutext wewe?
- Wewe unafikiria wawezaje kumsaidia kama anajitangaza kiasi hicho?
Kwa mtazamo wangu. naona ni vyema sasa kupunguza kujadili mambo kama haya, maana kwa sehemu pia ni kama yanapromote hizo tabia
wewe ni mzima? Mbona haya post zako zimekaa kubembeleza bembeleza hivi? Ningaliweza kumpa msaada wa Jeneza huyo rafiki yako sema nitakua sijaitendea miti haki kwani ni kutia najisi mbao...Sipendi ushoga,siwapendi mashoga,sipendi mtu mwenye element za kishoga na anayewakingia mashoga kifua!
Mwanaume aliyezaliwa bila tatizo lolote biological kisha akaamua kwa ridhaa yake kuwa shoga ndiye mwenye dhambi kuu..aliyemtanguliza jehanum ana dhawabu zaidi!