Hivi kweli kuna mashoga Tz?

Hivi kweli kuna mashoga Tz?

mkokolo

Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
98
Reaction score
13
Hebu naomba tuchek ili jina fb charles da smart...yaani utashangaa kama nilivyoshangaaa...kha...pia naombe mmusaidie aiseeee....maana ilikuwa iv nimekuta text yake leo lakin ilitumwa toka tar3 inasema mambo....kabla sijajibu nka pita kwa profile yake...ebu pita na ww uone...maana mie nimeshindwa kumsoma....ni shoga kweli?ebu tumsaidien atoke umoooo
 
Harufu ya "Biashara Matangazo"
Lord have mercy
 
Asilimia kubwa ya mashoga apa Tz wanatokea upande wa mwambao wa Pwani
 
Wapo bwana.....kuna maanti pia huku mujini
 
Allah awape ufahamu wa kuyaendelea mema,,..na alinde vizazi vyetu,,..sasa unamtangaza na kumuanika huku JF ili iweje?????? Si ungemuonya tu personal yaishe?????,,...kabla hujafikiria kutangaza aibu ya mwenzio fikiria kwanza aibu zako,,...!!
 
ebu naomba tuchek ili jina fb charles da smart...yaani utashangaa kama nilivyoshangaaa...kha...pia naombe mmusaidie aiseeee....maana ilikuwa iv nimekuta text yake leo lakin ilitumwa toka tar3 inasema mambo....kabla sijajibu nka pita kwa profile yake...ebu pita na ww uone...maana mie nimeshindwa kumsoma....ni shoga kweli?ebu tumsaidien atoke umoooo

Kabla hatujaenda kuchuingulia profile ya huyo mtu, labda nikuulize maswali haya ya kipuuzi
  • Ulimfahamu vipi?
  • Ilikuwaje akakutext wewe?
  • Wewe unafikiria wawezaje kumsaidia kama anajitangaza kiasi hicho?

Kwa mtazamo wangu. naona ni vyema sasa kupunguza kujadili mambo kama haya, maana kwa sehemu pia ni kama yanapromote hizo tabia
 
Huyo jamaa anaonekana ni shoga aliyekubuhu. Ushoga ni pepo na mtu kutoka huko inahitaji neema kubwa sana ya kimungu. Bila Yesu haiwezekani ila Yesu akishakuwa the factor mambo yote yanawezekana.
Too bad this thing is happening on our soil. god can do great things lakini
 
Allah awape ufahamu wa kuyaendelea mema,,..na alinde vizazi vyetu,,..sasa unamtangaza na kumuanika huku JF ili iweje?????? Si ungemuonya tu personal yaishe?????,,...kabla hujafikiria kutangaza aibu ya mwenzio fikiria kwanza aibu zako,,...!!

Lakin ckuwa na maana ya kumtangaza kama umesoma vizuri maelezo ya mada ni kumsaidia na sio kumtangaza ningemtangaza nisingeandika kwa mtindo uo,,ningeandika kwa mtindo wa tangazo......
 
Kabla hatujaenda kuchuingulia profile ya huyo mtu, labda nikuulize maswali haya ya kipuuzi
  • Ulimfahamu vipi?
  • Ilikuwaje akakutext wewe?
  • Wewe unafikiria wawezaje kumsaidia kama anajitangaza kiasi hicho?

Kwa mtazamo wangu. naona ni vyema sasa kupunguza kujadili mambo kama haya, maana kwa sehemu pia ni kama yanapromote hizo tabia

Ndg madhan unaufahamu wakutosha kuhusu mitandao yaan social network...mimi cmjui...na kama umesoma maelezo yangu vzr uMenielewa...mimi kama mimi siwez ila tukisaidiana tunaweza kubadilisha...we r different as nyt n dai yet in our diffrnc we can change da society pleasee
 
kuna jukwaa la matangazo? Ni wale wale tu mnaosababisha Mungu anaitupia dunia kisogo kwa sababu ya upuuzi wenu!
 
kuna jukwaa la matangazo? Ni wale wale tu mnaosababisha Mungu anaitupia dunia kisogo kwa sababu ya upuuzi wenu!
ni jema ukasoma kitu ukaelewa kuliko kuhukumu akuna aliyetangaza biashara hapo...kama unakielewa kiswahili sanifu na ni mtanzania mzalendo utatoa maelezo sahihi,,na sio ayo
 
ungemjibu kule kule alikokutumia sms na kwanini akutumie wewe? Unatuthibitishia vipi kuwa wewe siye huyo mpuuzi na kwamba hapa umekuja kutanua wigo wa biashara yako? There inafter km siye au ndiye na kwamba ndilo kundi alilochagua/ulilochagua then unataka ashauriwe kufanya nini...let him do it!
 
Unajua unatakiwa kufikiria na sio kukurupuka kijana ebu jibu kama mtu unayetoa msaada kwa mtz mwenzio na sio kushambulia kwa maneno ya sio jenga kama shule aikupita utakuwa umeelewa post nilioweka lakin kama shule uikuruka utaweka vitu visivyo eleweka kama ivyoo..ebu kuwa mtz mwenye busara katka kila tatizo kijana
 
ungemjibu kule kule alikokutumia sms na kwanini akutumie wewe? Unatuthibitishia vipi kuwa wewe siye huyo mpuuzi na kwamba hapa umekuja kutanua wigo wa biashara yako? There inafter km siye au ndiye na kwamba ndilo kundi alilochagua/ulilochagua then unataka ashauriwe kufanya nini...let him do it!

Ndg umoja na ushirikiano ndio ngao ya kuleta mabadiliko na sio ktk hali ya upekee yaan ya umoja....
 
wewe ni mzima? Mbona haya post zako zimekaa kubembeleza bembeleza hivi? Ningaliweza kumpa msaada wa Jeneza huyo rafiki yako sema nitakua sijaitendea miti haki kwani ni kutia najisi mbao...Sipendi ushoga,siwapendi mashoga,sipendi mtu mwenye element za kishoga na anayewakingia mashoga kifua!
 
kama huamini wapo nenda lango la jiji magomeni mikumi
 
Back
Top Bottom