Johnson Security Solution Member Joined Oct 1, 2019 Posts 43 Reaction score 17 Dec 10, 2019 #101 Hali ilivyongumu hivi daah tutajitoa wengi kafara.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 374,432 Reaction score 867,127 Dec 10, 2019 #102 Unajua ni kafara gani unatakiwa kutoa? [emoji116][emoji116][emoji116] Sauda said: Maswali ninayo mengi!.. Hilo Jini, linatoaje Pesa? Nikwamba linakujazia 'Majaba yamejaa Mihela? au inakuwaje! Mimi nalihitaji wakuu! kutoa kafara au kujitoa kafara, sioni tatizo. ila tatizo litakuja pale nitakapotoa kafara na mihela nisiipate! Click to expand... kutoa kafara au kujitoa kafara, sioni tatizo. ila tatizo litakuja pale nitakapotoa kafara na mihela nisiipate!
Unajua ni kafara gani unatakiwa kutoa? [emoji116][emoji116][emoji116] Sauda said: Maswali ninayo mengi!.. Hilo Jini, linatoaje Pesa? Nikwamba linakujazia 'Majaba yamejaa Mihela? au inakuwaje! Mimi nalihitaji wakuu! kutoa kafara au kujitoa kafara, sioni tatizo. ila tatizo litakuja pale nitakapotoa kafara na mihela nisiipate! Click to expand... kutoa kafara au kujitoa kafara, sioni tatizo. ila tatizo litakuja pale nitakapotoa kafara na mihela nisiipate!
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 374,432 Reaction score 867,127 Dec 10, 2019 #103 Nakuja Chrix_Tz said: Huwa nakufatilia sana ktk mambo yako ebu naomba siku moja uzungumzie hili kwa kina ili pia wale wanajamvi pia tunaokua na imani fulani tupate kuelewa zaid maana siku hizi wapigaji wengi kweli Mshana Jr wahanga ni weng sana ktk hili mkuu Click to expand...
Nakuja Chrix_Tz said: Huwa nakufatilia sana ktk mambo yako ebu naomba siku moja uzungumzie hili kwa kina ili pia wale wanajamvi pia tunaokua na imani fulani tupate kuelewa zaid maana siku hizi wapigaji wengi kweli Mshana Jr wahanga ni weng sana ktk hili mkuu Click to expand...
kiboboso JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 9,351 Reaction score 12,704 Dec 10, 2019 #104 Sauda said: mbona masharti rahisa sana hayo! wewe niambie zinapatikana wapi na zinapatikana vipi! NB. ZIWE NI HELA KWELI, SIO HELA ZA KUWAZA WAZA. Click to expand... Namsikitikia aliyekuzaa maana kwa hapa amezaa sheitwani kabisa... [emoji23]
Sauda said: mbona masharti rahisa sana hayo! wewe niambie zinapatikana wapi na zinapatikana vipi! NB. ZIWE NI HELA KWELI, SIO HELA ZA KUWAZA WAZA. Click to expand... Namsikitikia aliyekuzaa maana kwa hapa amezaa sheitwani kabisa... [emoji23]
Joseph lebai JF-Expert Member Joined Jul 19, 2017 Posts 8,447 Reaction score 8,722 Dec 16, 2019 #105 Yupo ila anakaa baharini sehemu yenye kina kirefu chini ya mwamba, unaweza kwenda kumuona? Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo ila anakaa baharini sehemu yenye kina kirefu chini ya mwamba, unaweza kwenda kumuona? Sent using Jamii Forums mobile app
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,961 Reaction score 25,323 Nov 27, 2020 #107 Zinduna haupo siriyaz unazingua. Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Quetzal JF-Expert Member Joined Dec 9, 2018 Posts 6,345 Reaction score 10,841 Nov 27, 2020 #108 Sauda said: Mungu hasaidii! hela ninazozitaka hapa, si hela za mboga na viwalo, hapana. NAHITAJI HELA ZA MAANA. Click to expand... Kama unatafuta msaada pasipo kuwa na Mungu...Pole Sana.. Natamai ushapata hela za kujaza Diaba.
Sauda said: Mungu hasaidii! hela ninazozitaka hapa, si hela za mboga na viwalo, hapana. NAHITAJI HELA ZA MAANA. Click to expand... Kama unatafuta msaada pasipo kuwa na Mungu...Pole Sana.. Natamai ushapata hela za kujaza Diaba.
Joseph lebai JF-Expert Member Joined Jul 19, 2017 Posts 8,447 Reaction score 8,722 Oct 5, 2022 #110 Lipo, linakaa baharini sehemu yenye kina kirefu.