Sauda JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 860 Reaction score 1,107 Jul 11, 2018 #1 Maswali ninayo mengi, Hilo Jini, linatoaje Pesa? Ni kwamba linakujazia 'Majaba'? Yamejaa mihela? au inakuwaje? Mimi nalihitaji wakuu! kutoa kafara au kujitoa kafara, sioni tatizo. Ila tatizo litakuja pale nitakapotoa kafara na mihela nisiipate
Maswali ninayo mengi, Hilo Jini, linatoaje Pesa? Ni kwamba linakujazia 'Majaba'? Yamejaa mihela? au inakuwaje? Mimi nalihitaji wakuu! kutoa kafara au kujitoa kafara, sioni tatizo. Ila tatizo litakuja pale nitakapotoa kafara na mihela nisiipate
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,497 Reaction score 27,763 Jul 11, 2018 #2 achana na imani potofu ww tafuta hela kwa jasho utafanikiwa mwamini mungu
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,936 Reaction score 30,051 Jul 11, 2018 #3 Zinduna Zindune said: Maswali ninayo mengi!.. Hilo Jini, linatoaje Pesa? Nikwamba linakujazia 'Majaba yamejaa Mihela? au inakuwaje! Mimi nalihitaji wakuu! kutoa kafara au kujitoa kafara, sioni tatizo. ila tatizo litakuja pale nitakapotoa kafara na mihela nisiipate! Click to expand... CC Mshana Jr
Zinduna Zindune said: Maswali ninayo mengi!.. Hilo Jini, linatoaje Pesa? Nikwamba linakujazia 'Majaba yamejaa Mihela? au inakuwaje! Mimi nalihitaji wakuu! kutoa kafara au kujitoa kafara, sioni tatizo. ila tatizo litakuja pale nitakapotoa kafara na mihela nisiipate! Click to expand... CC Mshana Jr
Sauda JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 860 Reaction score 1,107 Jul 11, 2018 Thread starter #4 fundi bishoo said: achana na imani potofu ww tafuta hela kwa jasho utafanikiwa mwamini mungu Click to expand... Mungu hasaidii! hela ninazozitaka hapa, si hela za mboga na viwalo, hapana. NAHITAJI HELA ZA MAANA.
fundi bishoo said: achana na imani potofu ww tafuta hela kwa jasho utafanikiwa mwamini mungu Click to expand... Mungu hasaidii! hela ninazozitaka hapa, si hela za mboga na viwalo, hapana. NAHITAJI HELA ZA MAANA.
kinundu JF-Expert Member Joined Oct 12, 2016 Posts 2,028 Reaction score 2,169 Jul 11, 2018 #5 Zinduna Zindune said: Mungu hasaidii! hela ninazozitaka hapa, si hela za mboga na viwalo, hapana. NAHITAJI HELA ZA MAANA. Click to expand... Hahahaa et Mungu hasaidii....
Zinduna Zindune said: Mungu hasaidii! hela ninazozitaka hapa, si hela za mboga na viwalo, hapana. NAHITAJI HELA ZA MAANA. Click to expand... Hahahaa et Mungu hasaidii....
Sauda JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 860 Reaction score 1,107 Jul 11, 2018 Thread starter #6 kinundu said: Hahahaa et Mungu hasaidii.... Click to expand... Ndio
reyzzap JF-Expert Member Joined Oct 3, 2014 Posts 6,828 Reaction score 21,934 Jul 11, 2018 #7 Bahat mbaya kafara unatolewa wewe mwenyewe kwa faida ya waliokutoa kafara
Sauda JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 860 Reaction score 1,107 Jul 11, 2018 Thread starter #8 reyzzap said: Bahat mbaya kafara unatolewa wewe mwenyewe kwa faida ya waliokutoa kafara Click to expand... vyovyote vile mkuu! nachohitaji ni 'Mihela' sio hela.
reyzzap said: Bahat mbaya kafara unatolewa wewe mwenyewe kwa faida ya waliokutoa kafara Click to expand... vyovyote vile mkuu! nachohitaji ni 'Mihela' sio hela.
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,497 Reaction score 27,763 Jul 11, 2018 #9 Zinduna Zindune said: vyovyote vile mkuu! nachohitaji ni 'Mihela' sio hela. Click to expand... kumbe uko tayari ata kufa?? si jitoe kafara ukaibe bank mihela unayoitaka kuliko kulalamika tu
Zinduna Zindune said: vyovyote vile mkuu! nachohitaji ni 'Mihela' sio hela. Click to expand... kumbe uko tayari ata kufa?? si jitoe kafara ukaibe bank mihela unayoitaka kuliko kulalamika tu
Sauda JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 860 Reaction score 1,107 Jul 11, 2018 Thread starter #10 fundi bishoo said: kumbe uko tayari ata kufa?? si jitoe kafara ukaibe bank mihela unayoitaka kuliko kulalamika tu Click to expand... we mpuuzi kweli! kwahiyo niende bank bila siraha? kha!
fundi bishoo said: kumbe uko tayari ata kufa?? si jitoe kafara ukaibe bank mihela unayoitaka kuliko kulalamika tu Click to expand... we mpuuzi kweli! kwahiyo niende bank bila siraha? kha!
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,792 Reaction score 721,062 Jul 11, 2018 #11 Zinduna Zindune said: Maswali ninayo mengi!.. Hilo Jini, linatoaje Pesa? Nikwamba linakujazia 'Majaba yamejaa Mihela? au inakuwaje! Mimi nalihitaji wakuu! kutoa kafara au kujitoa kafara, sioni tatizo. ila tatizo litakuja pale nitakapotoa kafara na mihela nisiipate! Click to expand... Mh! Hatari
Zinduna Zindune said: Maswali ninayo mengi!.. Hilo Jini, linatoaje Pesa? Nikwamba linakujazia 'Majaba yamejaa Mihela? au inakuwaje! Mimi nalihitaji wakuu! kutoa kafara au kujitoa kafara, sioni tatizo. ila tatizo litakuja pale nitakapotoa kafara na mihela nisiipate! Click to expand... Mh! Hatari
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,497 Reaction score 27,763 Jul 11, 2018 #12 Zinduna Zindune said: we mpuuzi kweli! kwahiyo niende bank bila siraha? kha! Click to expand... silaha gani unayotaka we c uko tayari ata kufa mkuu au beba kisu panga, mkuki alafu kawape shambulio
Zinduna Zindune said: we mpuuzi kweli! kwahiyo niende bank bila siraha? kha! Click to expand... silaha gani unayotaka we c uko tayari ata kufa mkuu au beba kisu panga, mkuki alafu kawape shambulio
Sauda JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 860 Reaction score 1,107 Jul 11, 2018 Thread starter #13 fundi bishoo said: silaha gani unayotaka we c uko tayari ata kufa mkuu au beba kisu panga, mkuki alafu kawape shambulio Click to expand... WEWE NI BWEGE
fundi bishoo said: silaha gani unayotaka we c uko tayari ata kufa mkuu au beba kisu panga, mkuki alafu kawape shambulio Click to expand... WEWE NI BWEGE
Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 28,752 Reaction score 91,853 Jul 11, 2018 #14 Zinduna Zindune said: Maswali ninayo mengi!.. Hilo Jini, linatoaje Pesa? Nikwamba linakujazia 'Majaba yamejaa Mihela? au inakuwaje! Mimi nalihitaji wakuu! kutoa kafara au kujitoa kafara, sioni tatizo. ila tatizo litakuja pale nitakapotoa kafara na mihela nisiipate! Click to expand... Duuhhh
Zinduna Zindune said: Maswali ninayo mengi!.. Hilo Jini, linatoaje Pesa? Nikwamba linakujazia 'Majaba yamejaa Mihela? au inakuwaje! Mimi nalihitaji wakuu! kutoa kafara au kujitoa kafara, sioni tatizo. ila tatizo litakuja pale nitakapotoa kafara na mihela nisiipate! Click to expand... Duuhhh
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,497 Reaction score 27,763 Jul 11, 2018 #15 Zinduna Zindune said: WEWE NI BWEGE Click to expand... hata we ni BWEGE pia unataka hela nyingi wakati hutaki kufanya kazi mkuu hebu kafanye kazi
Zinduna Zindune said: WEWE NI BWEGE Click to expand... hata we ni BWEGE pia unataka hela nyingi wakati hutaki kufanya kazi mkuu hebu kafanye kazi
shin gun wook JF-Expert Member Joined Sep 26, 2017 Posts 995 Reaction score 1,515 Jul 11, 2018 #16 nenda kalime shamba kijana
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,027 Jul 11, 2018 #17 Kuna Jini nauza kama una pesa njoo nikuuzie.
Chrismoris JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 14,234 Reaction score 17,826 Jul 11, 2018 #18 Cha ajabu wanaogawa hayo majini ya pesa hawana hizo pesa.
Sauda JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 860 Reaction score 1,107 Jul 11, 2018 Thread starter #19 fundi bishoo said: hata we ni BWEGE pia unataka hela nyingi wakati hutaki kufanya kazi mkuu hebu kafanye kazi Click to expand... shin gun wook said: nenda kalime shamba kijana Click to expand... Acheni Uzuzu, kazi nafanya, pesa napata. Ni pesa za kula na kunya. ila sasa, nahitaji MIHELA sio hela.
fundi bishoo said: hata we ni BWEGE pia unataka hela nyingi wakati hutaki kufanya kazi mkuu hebu kafanye kazi Click to expand... shin gun wook said: nenda kalime shamba kijana Click to expand... Acheni Uzuzu, kazi nafanya, pesa napata. Ni pesa za kula na kunya. ila sasa, nahitaji MIHELA sio hela.
Sauda JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 860 Reaction score 1,107 Jul 11, 2018 Thread starter #20 Mbao za Mawe said: Kuna Jini nauza kama una pesa njoo nikuuzie. Click to expand... hilo jini, liambie likupe pesa
Mbao za Mawe said: Kuna Jini nauza kama una pesa njoo nikuuzie. Click to expand... hilo jini, liambie likupe pesa