Hivi kweli huwa inatokea?

Hivi kweli huwa inatokea?

mmnh kama unaujali urafki wko na rafki yako mfoadie msg na umwambie amkanye demu wake
wanawake wako wengi ni mbaya kutembea na demu wa rafiki yako

Prof anasemaa.... we n mmasai wa loliondo au meru...!! Your age please. .
 
N kwel kabisa mkuu nanikomalia kutata kuja geto alafu mbaya zaida mpenz wang amepata likizo yuko mbion anakuja
Kumbe na wewe ni MR.dHaIfu
sasa kama mchumba wako asingekuwa anakuja,ungemkaribisha?
umeambiwa,mheshimu rafiki yako.
 
Ni kwel ila msumbufu hata ukimkatalia bado anakuwa kinganganiz

Kwanza Wewe Umeamua Nini, Maana Inaonekana Unataka Ushauli Wa Upande Mmoja, Et King'ang'anizi, Mwanamke Hauishi Nae Anakung'ang'ania Mnakutana Wapi! Kama Ni Cm Mwambie Mpenzi Wake Au Mwambie Mimi Sikutaki Na Sikupendi Uone Kama Ataendelea
 
Poah mkuu nmekuelewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom