ABDUL JIRANI
Senior Member
- Jul 20, 2013
- 176
- 52
Kama siku wiki imepita tangu rafiki yangu anitembelee nyumbani kwangu na mpenzi wake. Wakakaa siku mbili na kuondoka. katika pitapita zangu nikakutana naye mtaani yule msichana nikapiga nae stori za hapa na pale mwisho nikamuaga kuondoka kwa sababu nilikuwa na mtu namuwahi.
Lakini kabla sijaondoka akaniomba nimpatie namba ya simu nikampa kisha nikaondoka chaajabu mpaka hii leo ni siku ya pili ananipigia simu kutaka kuja kwangu isitoshe mimi naishi bachela.
Wadau nimruhusu aje au nimkaushie?