Hivi kweli CCM ndo wamekubali kushindwa?

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,255
Reaction score
8,027
Sikuamini kwa masikio yangu baada ya kumsikia mzee mmoja maarufu mtaani kwangu akisema kua ana taarifa kwamba sasa baadhi ya viongozi wa CCM wanamtafuta Mh LOWASSA ili Kuongea naye wampe baraka za kuiongoza nchi hii, Kwamba alinde vizuri rasirimali za nchi na awalinde vizuri baadhi ya viongozi wa CCM.
Nilimsikiliza kwa makini huyo mzee japo ilikua ni vigumu kwangu mimi kumwamini kwa jinsi hali ya kisiasa ilivyo kwa sasa hasa kwa upande CCM wanavyotumia nguvu nyingi kumnadi mgombea wao kuliko hata miaka ya nyuma.Pia alisema kua kuna baadhi ya watu wamefanya utafiti nchi nzima na wakagundua kua sio rahisi kumshinda Lowassa kwa namna yeyote ile.

Ni hayo tu wanajukwaa niliyoyasikia hivyo basi za kuambiwa tuchanganye na zetu kutafakari.
 
Sio tetesi ni ukweli ulio wazi kabisa bila ubishi
 
kwan Nani Hasiyejua Mh. Lowasa Ndie Chaguo La Watanzania Wengi wenye Mapenzi Na Nchi Hii...Hivyo Ikulu Ya Nchi Hii(Iliyoko Magogoni), tunamkabidhi Kwa Moyo Wa Dhati
 
sio tu huyo mzee,wewe angalia hata kampeni za lowasa,polisi wenyewe wamekua wapole wamejua huyu jamaa ni rais.wanalinda mikutano yake yote sasa.
 
Sikuamini kwa masikio yangu baada ya kumsikia mzee mmoja maarufu mtaani kwangu akisema kua ana taarifa kwamba sasa baadhi ya viongozi wa CCM wanamtafuta Mh LOWASSA ili Kuongea naye wampe baraka za kuiongoza nchi hii, Kwamba alinde vizuri rasirimali za nchi na awalinde vizuri baadhi ya viongozi wa CCM.
Nilimsikiliza kwa makini huyo mzee japo ilikua ni vigumu kwangu mimi kumwamini kwa jinsi hali ya kisiasa ilivyo kwa sasa hasa kwa upande CCM wanavyotumia nguvu nyingi kumnadi mgombea wao kuliko hata miaka ya nyuma.Pia alisema kua kuna baadhi ya watu wamefanya utafiti nchi nzima na wakagundua kua sio rahisi kumshinda Lowassa kwa namna yeyote ile.

Ni hayo tu wanajukwaa niliyoyasikia hivyo basi za kuambiwa tuchanganye na zetu kutafakari.
Viongozi wa ccm walindwe kwa kuvunja sheria za nchi au walindwe kwa sababu gani?
 
hikitu ndugu ni kweli. Wewe fanya tafiti zako. Kwenye misiba. Kwenye maarusi.kwenye mabaa. Kwenye dala dala. Na vijiweni.

Utakuta katika watu 10 watu 8 ni lowassa. Hata unapotembea barabarani uwezi pita bila kukutana na watu wanao mzungumzia lowassa kama chaguo lao.

Ccm ijiandae kisaikolojia mwaka hu ndio mwisho wa utawala wao. Asubui 25 oct. Biashara tunamaliza.
 
sio tu huyo mzee,wewe angalia hata kampeni za lowasa,polisi wenyewe wamekua wapole wamejua huyu jamaa ni rais.wanalinda mikutano yake yote sasa.
Kama ni kweli basi tusubiri muda utanena mkuu na itakua nzuri sana hiyo.
 
Huo ni ukweli hakuna tetesi
 
Jana tbc walirusha mkutano wake wa moro.uthibitisho huo na lini ybc wakarusha habar positive za ukawa.washajua jamaa atashinda
 
Tetesi yako inakaribiana na ukweli kwa asilimia 90; stay tuned!!

Sikuamini kwa masikio yangu baada ya kumsikia mzee mmoja maarufu mtaani kwangu akisema kua ana taarifa kwamba sasa baadhi ya viongozi wa CCM wanamtafuta Mh LOWASSA ili Kuongea naye wampe baraka za kuiongoza nchi hii, Kwamba alinde vizuri rasirimali za nchi na awalinde vizuri baadhi ya viongozi wa CCM.
Nilimsikiliza kwa makini huyo mzee japo ilikua ni vigumu kwangu mimi kumwamini kwa jinsi hali ya kisiasa ilivyo kwa sasa hasa kwa upande CCM wanavyotumia nguvu nyingi kumnadi mgombea wao kuliko hata miaka ya nyuma.Pia alisema kua kuna baadhi ya watu wamefanya utafiti nchi nzima na wakagundua kua sio rahisi kumshinda Lowassa kwa namna yeyote ile.

Ni hayo tu wanajukwaa niliyoyasikia hivyo basi za kuambiwa tuchanganye na zetu kutafakari.
 
Hata mie nimesikia habari za ndani ni kuwa ushauri aliotoa Karume jumapili kuwa ukitaka kumtania jirani yako sio mpaka umtusi kwani amani kutoweka na visasi vinatokana na matusi.
Sababu ya onto hilo wanasema kuwa pamoja na EL kutokuwa mtu wa visasi hakutazuia watendaji wake kutumia nafasi zao kumlipizia visasi kwa hao watoa matusi kwani hata wao yanawaumiza.
Tahadhari hiyo imetokana na ukweli kuwa wazee wa chama wameona mwelekeo kuwa uko wlijojo lakini maafisa wa kati wa chama bado wamepofushwa na kiburi na kudhani ushindi huwa upon tuu.
Kwa onto hilo tutaona mabadiliko kidogo katika lugha zao majukwaani
 
Unapoambiwa kuwa usifanye hivi na wewe ukakaidi basi utapigwa tu! Kipigo cha oct 25 kipo paleple. CCM ni ile ile. Umoja ni ushindi!
 
Mimi nilikuwa wa kwanza kumkataa Lowassa kujiunga na CHADEMA nikiamini hatailetea CHADEMA na UKAWA faida yoyote kisiasa zaidi ya hasara,mtazamo wangu umebadilika jana alipokuja Morogoro, mji mzima ulikumbwa na homa ya Lowassa,ule uwanja alioutumia jana ni mkubwa Uwanja wa Jamhuri uliotumiwa na CCM unaingia mara mbili lakini bado haukutosha kwa jinsi ulivyofurika,watu walijaa mpaka barabarani,barabara zote zilizibwa,mbaya zaidi umati wote ule ulinyoosha mikono ya kuonyesha watampa kura zao Edo, wakadai hawana shida ya kumsikia Lowassa akiongea wala hawajali kama ni mgonjwa kwani wameshaamua ndio rais wao ajaye, kwa wale Wana CCM wanaotumia ugonjwa wa Lowassa kama kete yao ya kisiasa wajipange upya.Kinachomsaidia Lowassa kupendwa hivi ni haiba yake ya upole inayobeba ubinadamu na utu,hii ndiyo siri ya yeye kupendwa na wananchi kupita kiasi,huyu mzee ni mwanasiasa hatari sana,haongei sana kwa kawaida lkn yale machache anayoyaongea ni ya kugusa mioyo na hisia za wasikilizaji wake,"sijawahi kuona umati kama huu,sijui niseme nini mimi,haya ni zaidi ya mahaba,najisikia kudeka"kauli hizi zinatosha kabisa kuchota hisia za akina mama wakihisi anayesimama mbele yao anazijali hisia zao,ukitaka kupata kura za akina mama wewe ingia tu moja kwa moja ktk hisia zao,wala usihangaike na misera mirefuuuu kwasababu hawana muda huo.
 
Taarifa za mitaani siyo rasmi sana na huyo mzee siamini kama kweli ni mwana ccm...kwani wazee wa ccm wapo wengi na kama kweli wameshindwa tutawasikia tu.....halaf pia zimebaki siku 30.... tuvute subira tuone nani atakaa...
 
hikitu ndugu ni kweli. Wewe fanya tafiti zako. Kwenye misiba. Kwenye maarusi.kwenye mabaa. Kwenye dala dala. Na vijiweni.

Utakuta katika watu 10 watu 8 ni lowassa. Hata unapotembea barabarani uwezi pita bila kukutana na watu wanao mzungumzia lowassa kama chaguo lao.

Ccm ijiandae kisaikolojia mwaka hu ndio mwisho wa utawala wao. Asubui 25 oct. Biashara tunamaliza.
Mkuu umenena vyema hata Mimi nimefanya utafti usio rasmi nikagundua watu wengi wanazungumzia Lowasa kuliko Magufuri na ikitokea uko kwenye daladala ukazungumza habari za magufuri unaweza ukashambuliwa na daladala yote kwa kweli mwaka huu Mabadiliko hayaepukiki
 
Mimi hilo la Lowasa kuombwa na wazee wa ccm, wala halinitatizi. Kinachonitatiza ni ile kauli ya JK kwamba mwenye Richmond ni yule anayeongozana na Lisu!
Swali hapa ni; hivi ni lini JK ameacha kuwa rais wa nchi hii? Swali la pili ni lini alimjua huyo "Mwenye Richmond"? Na kama ali/anamjua ni Mtanzania na si kampuni ya nje kama tulivyoaminishwa, yeye kama rais alichukua jitihada gani kuuvunja mkataba ambao anajua kabisa una personal interest ya "mtu", akiwa kama rais ambapo tunajua uwezo huo anao?
Kwanini hata Lowasa alipojiuzulu uwaziri Mkuu, bado mkataba wa Richmond hakuuvunja?
Kwa akili ya kawaida kabisa, hii inaleta majibu yasiyo na mashaka kwamba kampuni ya Richmomd si ya yule anayeongozana na Tundu Lissu. Kama muhusika ni Mtanzania, basi alibaki serikali na ndie aliyeendelea kuilinda kampuni ya Richmond.
 
Back
Top Bottom